Looking for Future Hubby

I'm Edith, nina miaka 26.
I have a degree
Natafuta mume WA kunioa.
Mwanaume WA until miaka 35-40.
Aliyeko serious ani pm.
00eaa3cb4369b53ea82f73ffbe5070aa.jpg

 
hamna mwanamke alye srias kutafuta mwanaume humu jf
Kweli kabisa mkuu, khari mbaya sana ndo maana watu wanakuja kwa gia ya mume! Wataishia kwenye mizinga na kutafutiana visa ili waachane.

Na wameshausoma mchezo kwamba walimu ni marketable ko kila anaekuja na uzi ni mwalimu.
 
h
I'm Edith, nina miaka 26.
I have a degree
Natafuta mume WA kunioa.
Mwanaume WA until miaka 35-40.
Aliyeko serious ani pm.

hizi fursa zingine zingenikuta ujanani sijui tu ingekuwaje,any way kila la kheri bidada
wakati wa ujana wangu akina miss chagga na madam B walikuwa hawatoi ofa kama hizi
 
Kafate hiyo degree ikuoe
eti nina degree khaaa

Inaonesha we ni bomu sana yaani mtaani kwenu
Kanisani
Kijijni hakuna hadi wewe ndio unajitongozesha
 
I'm Edith, nina miaka 26.
I have a degree
Natafuta mume WA kunioa.
Mwanaume WA until miaka 35-40.
Aliyeko serious ani pm.
Bila shaka hapo taget yako ni mume wa mwanamke mwenzio maana huo umri mmmh. Au unatafuta aliyekaribia kustaafu ili ule pensions na dogo dogo mwenzako
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom