Looking for employment. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Looking for employment.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by July, Oct 6, 2010.

 1. J

  July New Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello! I am looking for employment, i have a degree of sociology, so i can do any job related to social issues.
  Thank you all!
   
 2. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  www.kazi999.blogspot.com
  www.*************************
  www.papaeddy.blogspot.com

  ukikosa hapo kasafishe nyota kwanza kijijini yaani kasalimie mababu na bibib mliowasaahau wengine wakikasirika kule hata uwe na PHD utaishia kuanika certificate yako pale sebulen nakupa impatation ya kazi in jesus name
  wewe uko juu wewe ni yule usiewezwa yawezekana ndugu zako wa karibu awataki upate kazi nzuri labda nukusaidie ukiacha utan wa hapo juu....akuna kazi nzuri kama kumwomba mungu the right job
  Swala la kazi linaitaji

  1)MAOMBI
  2)IMANI
  3)NGUVU-UNAITAJI KUWA NA NGUVU YA AJIRA ..NA HII SI KUKAA TU BALI NI KWA KUFUNGA NA KUOMBA KATAA ROHO YA KUKATALIWA ZIPO ROHO MBALI MBALI KWA AJILI YA KUTOONA MAFANIKIO YA WATU UNAWEZA KUPATA KAZI NZURI SANA LAKINI KAMA ROHO YA KUKATALIWA INAKUFWATILIA HATA UWE MKURUGENZI UTAKAA MWEZI MMOJA MIEZI SITA KAMA AUJAOMBA KUONDOKA UNAFUKUZWA..SO SI SWALA LA AJIRA TU KUNA VITU VINGI KWENYE AJIRA...KABLA YA KUOMBA KAZI KEMEA ROHO ZA KUKATALIWA MAKAZINI,NYUMBAN ,KANISAN,UNAWEZA ONA MTU ANAISHIA NA UTAJIRI WA HALI YA JUU LAKINI KILA AKIFIKIRIA KUOA AMA KUOLEWA ATAKI KABISA ..AMA WATU AWAMTAKI KABISA...BADILII MWELEKEO WA MAISHA YAKO

  UKIPATA KAZI KEMEA KILA MAPEPO YALIOPALE KAZINI UJUI ALIEONDOKA AMEACHA NINI..KUNA OFISI MOJA KUBWA TU MTU ALIACHIWA KU ACT KAMA CEO LEO HII YULE JAMAA AMERUDI KILE CHUMBA ANAKIONA MOTO ALIISHIA KUOMBA WABADILISHE FANICHA WAKAAMUULIZA KWA MSINGI GANI...SIRI YAKE ANACHOKIONA..SO SWALA SI TU KUPATA KAZI NI JINSI GANI UNAWEZA KUILINDA KAZI YAKO..WAPO WENGI WALITAMANI HIKO KITI AWAKUKIPATA NA WAMELOGA WAMEHINGA ..SO UKIPATA AJIRA USIWE KIKOMO CHA MATATIZO YAKO OMBEA HIYO AJIRA YAKO ALAFU MWAMBIE YESU AIFUNIKE KWA DAMU YAYESU...USIWEZWE NA YOYOTE AWE BOSI WAKO SECRETARY WAKO AMA YOYOTE UNAEMJUA HAPO

  KAZI IKAWE KWAKO IN JESUS NAME
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  TZ ajira nowdays issue
   
 5. S

  SOGEA New Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAZI IKAWE KWAKO IN JESUS NAME[/QUOTE]

  Hee hii kazi sasa
  Kama mungu wake si Yesu jee? Ni kazi kweli kweli
   
 6. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Where did you obtain your Sociology degree?
   
Loading...