Looking for business idea

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
My wife has 20m cash and is looking for lucrative business idea, originally she had thought doing micro-finance business but she is afraid or risks involved.

Is there any one with business idea that we can aaply

Thanks.
 
Mie kiingereza sijui vizuri,ila nikiona pesa tu huwa kinakuja.
Halafu mambo ya kizungu wakati pesa yenyewe ni kuwekeza kwenye biashara ya kiswahili inaboa.
Kuna watu hawajui Kiingereza ni wakali wa Ideas za Biashara.
Weka kizungu angalau una deal kama la 200 -500m hivi.

Anyway.
Mie simshauri aingie huko,mambo ya Riba sio mazuri kwa dini zote na ndio maana wenye Taasisi hizo huwa mwisho wao chaliii,maana ni kama una dhulum mtu huku unajua kwamba unadhulum.

Mwambie awekeze kwenye Kilimo na ufugaji,itamlipa sana.
 
Asante kwa ushuari kaka ila kilimo na ufugaji ni kama vile gambling, I am not ready to buy the idea
 
mtazamo wako wewe kuhusu partnerships au joint venture upoje,bcoz I got a million dollar idea
 
My wife has 20m cash and is looking for lucrative business idea, originally she had thought doing micro-finance business but she is afraid or risks involved.

Is there any one with business idea that we can aaply

Thanks.

Tell her to pm me I can help as long as she can learn to trust a stranger.
 
My wife has 20m cash and is looking for lucrative business idea, originally she had thought doing micro-finance business but she is afraid or risks involved.

Is there any one with business idea that we can aaply

Thanks.

I suggest you give us, my office, to work out your task, in a week we come up with researched and viable business idea, then we prepare its business plan. Also visit us: www.kimiconsultancy.blogspot.com
 
Hiyo idea ya mkeo ni nzuri sana kuliko unavyofikiri. Tafuteni wanaofanya biashara hizo mpate in and out muifanye official, kwa mtaji huo unatosha kwa kuanzia. Demand ya uhitaji wa hela ni kubwa siku zote miaka yote na supply ni ndogo. the more business inavyokuwa na risk the inavyokuwa na faida kubwa. Huwezi kuondoa risk, we just manage it. Tafuteni ofisi ya vyumba viwili, nunueni fenicha chache kulingana na ukubwa wa ofisi, sajilini kampuni kisha toeni mikopo ya muda mfupi (mwezi mmoja)(dharula) kwa reasonable interest rate, mkopo uanzie elfu 50 hadi laki 3. Ndani ya mwaka mmoja mtaniambia.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) ni kampuni ya muungano wa vijana wa kitanzania na kichina waishio jijini Shanghai-China.Kampuni hii iliyoanzishwa february mwaka 2012 jijini Shanghai kwa Lengo la kuifikia jamii ya wafanyabiashara wa Tanzania na Africa kiujumla watakao kununua bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kutoka nje ya nchi (hususani China) kwa ajili ya kuboresha biashara zao.Kutokana na kuwa na changamoto nyingi zinazowapata wafanyabiashara wa Tanzania katika nyanja za kukataliwa kibali cha kuvuka mipaka(VISA REJECTION), ugumu wa lugha ya kichina( LANGUAGE BARRIER),kupata bidhaa bandia (FAKE GOODS)katika masoko madogo madogo ndani ya China na pia kukosa mahusiano ya moja (DIRECT LINK) na viwanda vitengenezavyo bidhaa mbali mbali nchini China. CWB ni njia sahihi ya kuweza kuboresha biashara yako bila kukutana na changamoto tajwa hapo juu, ni rafiki mwema wa biashara yako, ni njia sahihi ya kuweza kutimiza ndoto zako katika uwanja huu wa biashara. CWB,Tunatoa elimu ni jinsi gani ya kufanya kazi na sisi, tuna toa ushauri ni aina gani ya biashara mtu anaweza kufanya kulingana na mtaji wake, tunatoa maelezo ya kina kuhusu bidhaa zetu zote tuzitoazo mfano simu, tablets,nk. Kwa Sasa makao makuu ya ofisi za CWB yapo jijini Shanghai na ifikapo January 2014 ofisi zetu zitahamishiwa Ushirika Tower jijini Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea website yetu www.chinaworldbuz.com pia unaweza wasiliana nami kwa email juely2006@yahoo.com au justineluvanda@gmail.com, simu namba +8613524159707.

Usiwe na shaka kuuliza au kuhitaji mafafanuzi ya kina. Tupo kwa ajili ya kufikia mahitaji ya wafanyabiashara na watu wanaotaka kufanya biashara.

Asanteni.
 
My wife has 20m cash and is looking for lucrative business idea, originally she had thought doing micro-finance business but she is afraid or risks involved.

Is there any one with business idea that we can aaply

Thanks.

Mi nakushauri ajiunge na telexfree kwa pesa hiyo kwa mwezi atatengenrza milioni tano au zaid inategemea juhudi zake lkn haipungui 5m. Miezi minne au pungufu atakuwa amerudisha mtaji wake ndani ya mwaka atakuwa amepata faida zaid ya milioni 30 inategemea na juhudi yake.
 
Back
Top Bottom