Looking for Apartment/House to rent.....

dazenp

Senior Member
Mar 11, 2009
101
12
Natafuta nyumba au vyumba vya kupanga.....vyumba viwili kimoja room na kingine kama sitting room,choo na bafu ndani....uwezo wangu 100,000.00 TZS na naweza lipa miezi sita mpaka saba kama advance......
 
mkoa ni Dar....maeneo ni kujitonyama,sinza,upanga,mikocheni...
 
Back
Top Bottom