Looking for a woman; I want to get married

sukari69

Member
Nov 14, 2016
35
8
Nataka kuowa mwanamke Bikira wa miaka 20 .
Umri wangu ni miaka 45 , Muislamu
graduated from applied mathematics dep.
nafanya kazi nabiashara.
 
Una sh ngapi kama mahari nikutafutie binti bikra tena kuku wa kienyeji huku kijijini wapo wengi sana mkuu, nipo siriaz.
 
Huyu mwenye Uzi akili yake anaijua mwenyewe....

ngoja niende nikamtafutie kanisani maana kule hawakosekani
 
Back
Top Bottom