Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 81
Looking for a webdesigner,
Not just a web designer but a good one, kama vipi nitumie PM tufanye mchakato

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimekuPM nikakupa tovuti yangu utembelee then unicheki, naona kimyaaaa.
Nb: kumbuka mrejesho ni moja kati ya sababu za kukua kwa biashara iwapo mazingatio yatakuwepo.
mpigie huyu jamaa mwenye namba 0784638491 mwambie shida yako atkufanyia kazi nzuri kwani hayuko after money isipokua ubora
Mkuu samahani unaweza kujibu hivi vimaswali hapa hapa au kwa pm ili nipime ama naweza kufanyakazi hii kama freelance
NB.
Sio muhimu kujibu yeyote lakini the more details the more mahitaji yako requirement zako zitakuwa specified.
- Kwa sasa unayo website/blog yeyote?
- Elezea vitu au huduma unayotaka kuelezea kwenye tovuti yako. yaanii Dhumuni Kuu la bishara au huduma zako
- Washindani wakubwa wa huduma au biashara yako ni kina nani taja wawili? Wadau wakubwa watarajiwa kuwa kina nani?
- Uelewa wao wa mambo ya komyuta na tovuti Ukoje?
- Ni kitu au vitu gani hutaki viwepo kwenye website yako?
- Ni kitu au vitu gani ambacho unadhani ni cha muhimu kuwepo kwenye tovuti yako?
- Kuna tovuti ulizowai kuona unazopenda muonekano wake ? Zitaje kama tatu
- Watumiaji wa Tovuti wanategemea kuwa kina nani?
- Una upendeleo wa rangi Fulani zianazhusiana na biashara au bidhaa zako? Zitaje
- Una budget maaluma kwa ajili ya kutegeza tovuti hii
- Una deadline ambapo ni muhimu Tovuti hii iwe imekamilika
- Je unatagema tovuti yako itahitaji kutangza taarira/ bidhaa mpya mara kwa mara kila siku/kila wiki kila mwezi
- Unayo Logo kama unayo je iko katika mfumo wa digital?
- Unayo domain name eg (xyz.go.tz) na Host eg x10hoting.com or hostgatr.com
- Utapenda matumzi ya picha katika tovuti. Je unazo picha ambazo ungependa zionekane

Simple and Clear Requirements gathering .Yeye tu Aji ume-ume.
Safi Sana
Mbona hajatoa Feedbak kama ameshapata hiyo Service from JF
Hiyo PM Naona kuna foleni mbezi haijafika bado
Bado hijafika kama vipi weka majibu hapa yatawasaida wadau wengine na wewe kupata uwanja mpana wa kuchagua Suluisho boraNadhani itakuwa imefika sasa.
Bado hijafika kama vipi weka majibu hapa yatawasaida wadau wengine na wewe kupata uwanja mpana wa kuchagua Suluisho bora
Mkuu mtazamaji tuweke ustaarabu mbele, nimejibu maswali yako yote kwenye PM na wewe ukajibu PM yangu.
Tafadhari usitake kuniharibia status yangu jukwaani.
Mods naombeni mfuatilie hii kitu na sheria ichukue mkondo wake.
Mkuu nadhani hii issue tafuta ustarabu mwingine . Ila fuatilia ukweli kwa mod Anayekujibu hizo pm ni nani. hasa. Umenishtua na nimeshtuka sana kwa kweli.