Looking for a lawyer...

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Natafuta lawyer ambaye anajua vizuri sheria za Tanzania kuhusiana na Intellectual Property (IP) rights, specifically Trademarks, Copyrights, and other related rights.

Any ideas/suggestions?
 
mmh inategemea unamtaka kwa ajili ya nini? kama ni kwa ajili ya litigation au kama ni kwa ajili ya kuregister patents!!!
Ukisema ndio tunaweza kukujibu ni yupi anafaa kati ya malwyer waliopo tanzania. wapo wengi tu.

pia inategemea na kipato chako!!
 
Ninahitaji kwa ajili ya IP general questions.

Swala la kipato halina uzito sasa hivi. Lakini nahitaji wakili mwenye muda wa kusikiliza kila mtu....

Unaweza kunipatia contact za 3 wa kuanzia.
 
Back
Top Bottom