Looking for a job

Monica94

New Member
Jul 4, 2020
1
1
Greetings,

I am a girl with 26 year with Bachelor Degree in Participatory Project Planning and Management.

I am in Dar es Salaam but ready to relocate to any city in Tanzania and outside the country.

Any decent work am willing to do.

Contact me through: 0762161156 or mmissana94@gmail.com

Regards
 
I am a girl with 26 year with Bachelor Degree in Participatory Project Planning and Management. I am in Dar es Salaam but ready to relocate to any city in Tanzania and outside the country. Any decent work am willing to do. 0762161156 or mmissana94@gmail.com
.....Haya sasa vijana, tayari Monica Missana amewawekea na mawasiliano yake hapo.
Naomba msiniangushe tafadhali...
 
I am a girl with 26 year with Bachelor Degree in Participatory Project Planning and Management. I am in Dar es Salaam but ready to relocate to any city in Tanzania and outside the country. Any decent work am willing to do. 0762161156 or mmissana94@gmail.com
Sorry mkuu,hiyo course ya Degree in participatory project planning and management inatolewa na chuo gani?Na je ni project za aina gani unaweza kuzifanyia kazi je ni za science/engineering au social science?
 
Jikite kwenye NGOs kwa sababu hao huwa hawakosi vimiradi ila ujue kuwa kupata kazi hapa Bongo ni lazima uwe na connection; na kwako wewe jiandae kuombwa rushwa ya ngono.

Kama una principles zako umejiwekea kuhusu haya mambo na maisha yako kwa ujumla huu ndiyo wakati wa kuzirejelea. Ni changamoto sana ila pambana na Mungu hatakuacha. Blessings

Na ikiwezekana, ondoa hiyo namba ya simu hapot ubakize email yako tu inatosha; angalau kwa sasa.
 
Na ikiwezekana, ondoa hiyo namba ya simu hapo ubakize email yako tu inatosha.
wewe bwana hebu tuachie monica wetu tumtafutie kazi.

hayo mengine uliyoyataja ni muhimu lkn si kwa sasa,mwenzako amesema anahitaji kazi na yuko tayali kwenda mahali kokote ndani ya tanzania.

tena ngoja ni_screenshot hiyo namba ili baadaye usiku nimsaidie kutafuta kazi
 
Hahaaa unajifanya mstaaaraabb!!!! Ili umnase sio? Naona kaweka picha, jina na namba.
 
Hahahaaaa jamaa anataka kuharibu
 
umeonaaa eeehh

yaan anataka kumpeperusha ndege wetu
Mabaharia bana. Hata huruma hamna. Mshindweeeee
 
hahahahhaha wewe jamaa bwana.

ujue na sisi wenzako tumeokoka vile vile na tunampenda YESU hvyo hatuwez kukosa huruma.

hvyo huyo dada yuko kwenye mikono salama kabisa wala usijal.

ametuomba sisi kaka zake tumsaidie kutafuta kazi/ajira.

hvyo na sisi tunamsaidia kama dada yetu.

wala hatutashindwana
 
Nikushauri tu ujitahidi kutembelea websites za matngazo ya ajira rather than this cheap advertisment here, it will never help you sanasana you will end up disappointed and frustrated

Watatumia namba yako na email yako kwa malengo mengine na usipokua makini utajikuta unapotez mwelekeo kabisaa

Tangazo lako nasema ni cheap kwa sababu halina even 1% of who you are proffesionally...hapa naamanisha your education background haijajitosheleza, proffesional experience, what kind of job are you looking for, employer hawezi ku assume the position you are aiming at and why do you think you are qualifying for that particular position na mengine kama hayo

Unless uwe unatafuta non proffesional job au watu wa mjini wanasema kazi yoyote ilimradi kipato, kwa maana hiyo tegemea wati kukuitia hata kazi ya kutembeza vuombo, You must be spesific

Nazungumza na wewe kama HR.
Kama una swali karibu
I am a girl with 26 year with Bachelor Degree in Participatory Project Planning and Management. I am in Dar es Salaam but ready to relocate to any city in Tanzania and outside the country. Any decent work am willing to do. 0762161156 or mmissana94@gmail.com
 
Nikushauri tu ujitahidi kutembelea websites za matngazo ya ajira rather than this cheap advertisment here, it will never help you sanasana you will end up disappointed and frustrated

Watatumia namba yako na email yako kwa malengo mengine na usipokua makini utajikuta unapotez mwelekeo kabisaa

Tangazo lako nasema ni cheap kwa sababu halina even 1% of who you are proffesionally...hapa naamanisha your education background haijajitosheleza, proffesional experience, what kind of job are you looking for, employer hawezi ku assume the position you are aiming at and why do you think you are qualifying for that particular position na mengine kama hayo

Unless uwe unatafuta non proffesional job au watu wa mjini wanasema kazi yoyote ilimradi kipato, kwa maana hiyo tegemea wati kukuitia hata kazi ya kutembeza vuombo, You must be spesific

Nazungumza na wewe kama HR.
Kama una swali karibu

Ushauri mzuri sana ila nadhani lengo lake ni kupata mawasiliano ya awali kutoka kwa waajiri. Na hao waajiri bila shaka watataka kujua wasifu wake kamili na hapo ndipo atatuma CV yake kamili.

Kwa vile wewe ni HR na huyu ni binti mwenziyo, ni wazi kuna mengi hayajui kuhusu ishu za ajira. Msaidie hizo links za websites za ajira na kama inawezekana mentor her angalau kidogo ajue mambo ya msingi. Naamini hata CV yake itakuwa ina mapungufu mengi sana. Vinginevyo binti wa watu ataishia tu kugombaniwa na mabaharia kama mpira wa kona

Halafu mtu mwenyewe sijui kapotelea wapi....
 
hahahahhaha wewe jamaa bwana.

ujue na sisi wenzako tumeokoka vile vile na tunampenda YESU hvyo hatuwez kukosa huruma.

hvyo huyo dada yuko kwenye mikono salama kabisa wala usijal.

ametuomba sisi kaka zake tumsaidie kutafuta kazi/ajira.

hvyo na sisi tunamsaidia kama dada yetu.

wala hatutashindwana
Nawatania tu wadogo zangu nyie. Naamini mna roho njema sana na binti mtamsaidia kwa wema na ubinadamu wa hali ya juu. Mtabarikiwa sana mkifanya hivyo
 
Nafanya kazi kwenye INGO kama HR, hii short profile yake, sio rahisi kupata kazi

Huwa napokea CV nyingi sana za watu kuomba volunteering na wengine kuomba Internship, ila kosa kubwa sana ambalo nimekua nikiliona ni kwamba most of applicants hawajui exactly what they want. "I AM APPLYING FOR ANY AVAILABLE POSITION" hii ni mistake kubwa na nikiona CV ya namna hii hata kwenye data base siweki

Nafasi inapotokea always naangalia what i have in my data base. Kuna mtu anaandika spesifically kwamba yupo interested na Project management position or capacity building or community sensitization or receptionist na anaandika kulingana n alichosomea..hapa namaanisha education background yake inaendana na nafasi anayoihitaji

Sasa wewe umesoma lets say sociology and you are applying for any position, halafu inatokea nafasi ya communication Officer, kwenye data base yangu nina cv zaidi ya 300, within kuna aliespecify kwamba anahitaji nafasi ya communication officer, ungekua wewe HR ungempa kipaumbele yupi?

Second, unapoomba any available position, obvious mimi ninakutafsiri kwamba you do not have any career goals kwa hiyo mtu kama huyo hata kwenye kazi hatakua na goals..kwa maana nyingine ni mtu asiejua anataka nini na amesoma ili aje kufanya nini.

Nakubali kwamba ajira ni ngumu na vijana wanahitaji kazi bila kuchagua lakini kwa jicho la ki HR ni kosa kubwaa ambalo linakufanya uwe disqualified especially kwenye NGO.
Jikite kwenye NGOs kwa sababu hao huwa hawakosi vimiradi ila ujue kuwa kupata kazi hapa Bongo ni lazima uwe na connection; na kwako wewe jiandae kuombwa rushwa ya ngono.

Kama una principles zako umejiwekea kuhusu haya mambo na maisha yako kwa ujumla huu ndiyo wakati wa kuzirejelea. Ni changamoto sana ila pambana na Mungu hatakuacha. Blessings

Na ikiwezekana, ondoa hiyo namba ya simu hapot ubakize email yako tu inatosha; angalau kwa sasa.
 
Upo sahihi, lakini kama graduate, nategemea kuna mambo mengi sio lazima ayasome darasani wala kufundishwa na mtu, mengi yapo kwenye mitandao na unapokua mwaka wa mwisho chuoni moja ya mambo ambayo huwa tulikua tunajifunza kwa bidii ni namna ya kutengeneza profile, technics za kumvuta employes na mengi kama hayo maana baada ya chuo wengi wetu hutegeme kuajiriwa kwa hiyo maandalizi hayo yalikua muhimu sana

Namkaribisha kama ana swali au anahitaji ufafanuzi wa jambo lolote
Ushauri mzuri sana ila nadhani lengo lake ni kupata mawasiliano ya awali kutoka kwa waajiri. Na hao waajiri bila shaka watataka kujua wasifu wake kamili na hapo ndipo atatuma CV yake kamili.

Kwa vile wewe ni HR na huyu ni binti mwenziyo, ni wazi kuna mengi hayajui kuhusu ishu za ajira. Msaidie hizo links za websites za ajira na kama inawezekana mentor her angalau kidogo ajue mambo ya msingi. Naamini hata CV yake itakuwa ina mapungufu mengi sana. Vinginevyo binti wa watu ataishia tu kugombaniwa na mabaharia kama mpira wa kona

Halafu mtu mwenyewe sijui kapotelea wapi....
 
Nafanya kazi kwenye INGO kama HR, hii short profile yake, sio rahisi kupata kazi

Huwa napokea CV nyingi sana za watu kuomba volunteering na wengine kuomba Internship, ila kosa kubwa sana ambalo nimekua nikiliona ni kwamba most of applicants hawajui exactly what they want. "I AM APPLYING FOR ANY AVAILABLE POSITION" hii ni mistake kubwa na nikiona CV ya namna hii hata kwenye data base siweki

Nafasi inapotokea always naangalia what i have in my data base. Kuna mtu anaandika spesifically kwamba yupo interested na Project management position or capacity building or community sensitization or receptionist na anaandika kulingana n alichosomea..hapa namaanisha education background yake inaendana na nafasi anayoihitaji

Sasa wewe umesoma lets say sociology and you are applying for any position, halafu inatokea nafasi ya communication Officer, kwenye data base yangu nina cv zaidi ya 300, within kuna aliespecify kwamba anahitaji nafasi ya communication officer, ungekua wewe HR ungempa kipaumbele yupi?

Second, unapoomba any available position, obvious mimi ninakutafsiri kwamba you do not have any career goals kwa hiyo mtu kama huyo hata kwenye kazi hatakua na goals..kwa maana nyingine ni mtu asiejua anataka nini na amesoma ili aje kufanya nini.

Nakubali kwamba ajira ni ngumu na vijana wanahitaji kazi bila kuchagua lakini kwa jicho la ki HR ni kosa kubwaa ambalo linakufanya uwe disqualified especially kwenye NGO.
Unaona sasa. Mambo kama haya yatasaidia wengi.

Mimi pia niliwahi kufanya kazi kwenye NGO moja kubwa ya kimataifa na hawa walikuwa wanatoa mpaka scholarships za vijana kutoka Afrika kwenda Marekani kusomea Masters na Ph.D kwenye mambo ya sayansi hasa uhandisi, afya na IT. Kwenye selection committee ya kufanya final recommendations nilikuwa mweusi peke yangu. Nafasi nyingi zilikuwa zinachukuliwa na Wakenya, Wanaijeria na Afrika Kusini. Yaani nilikuwa mpaka naona aibu kusoma applications za vijana kutoka nyumbani. Kiingereza kibovu, makosa ya spelling, application letter yaani unasoma huwezi kuelewa mtu anataka nini ukija kwenye recommendation letters ndiyo usiseme. Unakuta recommender kaandika 'I don't know the applicant very well but s/he too one of my classes and s/he passed with a C. S/he is quiet and well behaved" kwisha kazi. Unasoma hizi za wengine unakuta recommendation letters ziko detailed mpaka unapata picha kamili ya waombaji. Halafu kwenye application kuna mahali wameambiwa kabisa waahidi kuwa wakimaliza masomo watarudi nyumbani na waeleze kwa kifupi jinsi watakavyoitumia elimu hiyo kuinua jamii yao. Wengine wanaruka kipengele hiki muhimu au mtu anasema "I will not stay in the US after I graduate and I will come home to stabilize my people" mtu keshamaliza.

Kuna mahali kuna tatizo katika mfumo wetu wa elimu na vijana wetu hawaelewi hata mambo ya msingi wanapoondoka vyuoni na kuingia huku mtaani hususan haya mambo ya ajira hata kama taasisi inayoajiri iko fair kabisa na haiangalii upendeleo wa aina yo yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom