Andymswati
New Member
- Oct 26, 2018
- 2
- 1
Nothing
Natafuta kazi View attachment 965769
Yoyote kiongozi but nmekua dereva kwa miaka mitatu iliyopita.hadi mwezi wa kumi mwaka huu.Kazi gani
sasa kama dereva unataka kazi nyingine tena yeyote kwanini?hebu nisaidie sijakuelewa hapo mkuuYoyote kiongozi but nmekua dereva kwa miaka mitatu iliyopita.hadi mwezi wa kumi mwaka huu.
Kazi za udereva kila siku zipo serikalini. Huwa unaziona???Yoyote kiongozi but nmekua dereva kwa miaka mitatu iliyopita.hadi mwezi wa kumi mwaka huu.