Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,105
- 18,005
Chatting - in English only.
"I am a lion and I'm looking for a friend to hangout with. The friend-to be must be a zebra, because I have a few zebra friends".
It looks like a duck, and it quacks like one. It's a f@cking duck!
Seat ya dereva ni ya Mr Devil anawazoom tu mtoa mada na rafiki yake mtarajiwa wanavyojifanya marafiki.
Mtakuja kukulana vibaya mpaka mtajishangaa kenge nyie.
What???Kumbe Nyani Ngabu una ID nyingine hapa!!
Eeenh?Kumbe Nyani Ngabu una ID nyingine hapa!!
What???
Nadhani unaota wewe!Caught red handed or in the act ...
Spinster ni opposite ya Bachelor , So hii nafasi ya chatting inakufaa zaidi .Mi nimeshikwa na butwaa Kama hao watu wa kwenye dp yako
Nadhani yai nililotema hapo ndio limemchanganya. Anadhani ni wewe peke yako ndio unaliweza!Nadhani unaota wewe!
Zaidi ya kuhisi [hisia] huna ushahidi wowote ule.
Unahisi tu kuwa ni mimi.
Mimi siyo huyo unayedhani ni mimi!
Kweli aisee!Nadhani yai nililotema hapo ndio limemchanganya. Anadhani ni wewe peke yako ndio unaliweza!