Looking fo Professional teacher code of conduct in Tanzania

Damidizzo

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
399
170
Naomba mwenye uelewa wa hizo code of conduct anijuze au ikipatikana document ntashukuru zaid.
Nawasilisha...​
 
Kwenye mkataba wa ajira za walimu huwa zipo zote TSD Kwa sasa wanaita TSC ...huwa nazichanganya na adhabu zake maana niliachaga kazi huko toka 2010 ...ukiupata mkataba wa ajira za walimu zipo nadhani
 
Ok shukran kwa Muongozo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom