Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye mkataba wa ajira za walimu huwa zipo zote TSD Kwa sasa wanaita TSC ...huwa nazichanganya na adhabu zake maana niliachaga kazi huko toka 2010 ...ukiupata mkataba wa ajira za walimu zipo nadhaniNaomba mwenye uelewa wa hizo code of conduct anijuze au ikipatikana document ntashukuru zaid.
Nawasilisha...
Uliacha kwa mujibu au kwa hiariKwenye mkataba wa ajira za walimu huwa zipo zote TSD Kwa sasa wanaita TSC ...huwa nazichanganya na adhabu zake maana niliachaga kazi huko toka 2010 ...ukiupata mkataba wa ajira za walimu zipo nadhani