Longido: Katibu Mwenezi wa CHADEMA ahamia CCM

Waambie wawaachie makamanda 20 wa Chadema Singida,kesi ya aibu eti tarehe 30 Oct waliandamana ,kesi uhujumu uchumi mawakala!!! Inaharibu sherehe kuapishwa mfalme.DPP afute shauri waungane sherehe kuapishwa mkuu. ( Rejea ITV habari saa2 leo)
Japo makamanda wameonyesha nyuso za furaha poz la tabasamu na alama ya vidole 2
Hakuna nyuso za fulaha hapo,
 
Hahaha bwege kweli sasa anatarajia nini akawe katibu wa ccm baada ya kuhamia?!
 
Inshallah tuonane Dom jumatano kushuhudia mzee wetu akila kiapo
Hahaha vituko haviishi duniani, kuna faida gani yeye kuapishwa?!

Unajua maana kiapo?!

Yeye yuko juu ya sheria, hakuna sheria yoyote inayombana, sasa anaapishwa ili iweje?!

Yani malaika wanamuapisha Mungu, wakati hawawezi kumuwajibisha.
 
Back
Top Bottom