Long queues as fuel crisis deepens | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Long queues as fuel crisis deepens

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BAK, Aug 8, 2011.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 100%, align: left"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"]By ALVAR MWAKYUSA and ROSE ATHUMANI, 8th August 2011
  DAILY NEWS

  THE Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)'s board of directors is on Tuesday expected to hold a meeting to deliberate on the fuel crisis in the country.

  This has come at a time when motorists are forced to queue for hours to get petroleum products at few filling stations that are dispensing fuel.

  During the meeting, the board is expected to discuss measures against fuel traders who have deliberately refused to sell petroleum products in protest to new cap prices announced by the industry regulator on August 3, this year.

  "It is true that the board will meet on Tuesday to discuss the situation in the fuel industry. Every decision at EWURA is made by the board," EWURA's Principal Communications and Public Relations Officer, Mr Titus Kaguo told 'Daily News' on Monday.

  Among hot issues that might come up for discussions include a refusal by BP Tanzania to sell fuel, much as it is partly owned by the government.

  The government of Tanzania has a 50 per cent stake in the company but almost all BP filling stations in the country have stopped selling the commodity.

  "BP filling stations are among stations that are not selling fuel. Since the government has shares in the company it is a disgrace that the same company seems to be against the government order," Mr Kaguo said.

  Engen Tanzania is also expected to be discussed over a statement made by its Managing Director, Mr Naidoo Seelan, that it would not be able to sell the commodity at the new prices announced by EWURA.

  Mr Seelan is also the Chairperson of Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC).

  "It is a normal board meeting for EWURA. Whenever there is a business to transact, the board has to sit and make deliberations," Mr Kaguo said.

  The refusal to sell fuel by some oil dealers in the country contravenes the Petroleum Act of 2008 and the Fair Competition Act of 2003 and the operators are to face punitive measures.

  The EWURA Consumer Consultative Council (EWURA-CCC) has called for investigations on oil marketing companies operating in the country, accusing them of operating as a cartel.

  Addressing a news conference last Sunday in Dodoma, its Chairman, Prof Jamidu Katima, said the behaviour of TAOMAC is questionable.

  Survey done by this newspaper yesterday in Dar es Salaam found that the city was in short supply as many filling stations had run out of stock.

  Out of 30 filling stations surveyed in the city, only eight were still supplying fuel, with long queues of motorists waiting for their turn.

  Gapco filling stations at Mnazi Mmoja, Uhuru and Kawawa junction, Kamata, Magomeni; Kobil filling stations at Boma Soko, Mandela and Uhuru junction, Mt Meru filling station Mandela Rd and, Camel Oil filling station at Keko ChangÂ’ombe were the only ones supplying fuel.

  Filling stations that were not supplying fuel include Total AT Bibi Titi and Morogoro Juction, Moroco; Oil Com at Pugu Rd, Mandela Rd, Tabata, Ubungo, Mwenge, and Kawe; Kobil at Kawe, Lake Oil at Buguruni, BP at Mandela Rd, Mwenge and Lake Oil at Tabata.

  Some of those interviewed claimed that they had run out of stock, and being a public holiday the depots are closed.

  "The stock ran out last night, being a public holiday, there is nothing we can do, until maybe on Tuesday," a service provider at Lake Oil Tabata, who declined to reveal his name, told this newspaper.

  At Oil Com Science in Kijitonyama another service provider echoed the same sentiments.

  On Sunday, the supply of fuel in the city had resumed with many filling stations, bowing to government's decision to reduce petrol, diesel and kerosene prices by 170/- and 200/- per litre.

  In accordance with EWURA, a litre of petrol now retails at maximum price of 2,003.79/-, from 2,206.16/- down by 9.17 per cent, diesel 1,910.84/- from 2, 084.33/- down by 8.31 per cent and kerosene 1,904.53/- from 2, 085.90/-.

  Despite the shortage, the price tags still reflected those directed by the government. Total petrol stations, BP, Oil Com, Oryx, Lake Oil, Engen had their price tags at 2,004/- for petrol, diesel 1,911/- and kerosene 1, 905/-.

  One filling station in Manzese had reduced the price of diesel to 1,910/- and TSN filling station at Bamaga is selling petrol at 2,000/- and diesel at 1,910/-.

  Following the government's directive to lower fuel prices, major cities across the country came to a virtual standstill last week as motorists queued for long hours for fuel at few filling stations that were operating.

  The government has warned that filling stations still charging old prices will face a penalty of 3m/- in addition to possible revocation of their licences.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Mvutano wa Serikali, wauza mafuta sasa wafikia pabaya
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Monday, 08 August 2011 21:35
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  Leon Bahati na Ibrahim Yamola
  Mwananchi

  WAKATI mamlaka za Serikali zikianza uchunguzi kuona kama kampuni zinazoagiza mafuta ya jumla zimekiuka Sheria ya Ushindani wa Kibiashara, wamiliki wa vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam wamepuuza onyo la Serikali na kuendelea na mgomo.
  Mbali na uchunguzi huo, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), huenda ikawasilisha ombi maalumu kwa Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC), la kufutwa kwa Chama cha Kampuni za Kuuza Mafuta Tanzania (Taomac).
  Vurugu katika soko la mafuta zilianza Agosti 4, mwaka huu baada Ewura kushusha bei ya petroli kwa Sh202.37 kwa lita ambayo ni sawa na asimilia 9.17, dizeli kwa Sh173.49 ambayo ni sawa na asilimia 8.32 na mafuta ya taa kwa 181.37, sawa na asilimia 8.70.

  Wakati baadhi ya kampuni zikificha bidhaa hiyo, taarifa zinasema zimekuwa zikipanga na kuzungumza kuhusu kufanya mgomo baridi.Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC), Gregory Ndanu aliliambia gazeti hili kwamba tayari wameanza mkakati wa kuchunguza mwenendo mzima wa wafanyabiashara hao.

  Ndanu alifafanua uchunguzi wa mwenendo huo umezingatia kwamba baada ya Tanzania kuingia katika mfumo wa soko huria, ni kosa kwa wafanyabiashara kukaa pamoja ili kupanga bei ya soko.
  "Katika uchunguzi wetu tukiwatia hatiani kwa kosa hilo, watatozwa faini kwa mujibu wa kifungu cha tisa cha Sheria namba 8 ya mwaka 2003 na kifungu cha 20 cha Sheria za Ewura," alisema Ndanu.Mkurugenzi huyo alisema Tume yake ipo mbioni kukutana na waandishi wa habari ili kuuarifu umma juu ya mpango wake. Alisema kampuni zitakazotiwa hatiani kila moja itatozwa faini ya asilimia tano hadi 10 ya mapato yake katika mwaka uliopita.

  "Katika soko huria bei hazipangwi ili kuruhusu ushindani wa kibiashara na tayari tumepata malalamiko kwamba wauzaji wa jumla ndiyo wanaovunja sheria hiyo."Mkurugenzi wa Ewura, Haruna Masebu alisema Bodi ya mamlaka hiyo inatarajiwa kufanya kikao Dar es Salaam leo kujadili na kuweka bayana ushahidi kwamba wafanyabiashara hao wamekuwa wakiwasiliana ili kupanga bei ya mafuta sokoni.

  "Bodi itafanya kikao kesho (leo) na miongoni mwa mambo ambayo tunatarajia kuyafanya ni kuandaa vielelezo vya uvunjaji sheria vinavyofanywa na wafanyabiashara wa mafuta nchini ili viwasilishwe FCC," alisema Masebu.

  Ingawa Masebu alikataa kuzungumzia juu ya adhabu inayoweza kuwakabili wafanyabiashara hao, mmoja wa maofisa wa Ewura alisema mbali na kutozwa faini, kampuni inaweza kufilisiwa iwapo itaonekana kuonyesha kiburi na tatizo hilo wamekuwa wakilifanya kwa muda mrefu.Ofisa hiyo aliongeza kwamba wataishauri FCC ikifute Taomac, kwa kuwa kimekuwa ni moja ya kichocheo kwa wafanyabiashara hao kugomea mpango wa Serikali wa kupunguza gharama za maisha nchini.

  Ufafanuzi wa Taomac
  Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Toamac, Salum Bisarara alikanusha kuhusu suala la wafanyabiashara hao kupanga bei akisisitiza vikao vya Ewura ndivyo vinavyowakutanisha katika kujadili mipango ya Serikali kwenye uagizaji wa bidhaa hizo.

  Aliendelea kulalamikia bei mpya akidai kwamba wakiuza kwa kutumia bei elekezi ziliyotolewa na Ewura, wanapata hasara ya Sh150 mpaka 250 kwa kila lita ya mafuta wanayouza. Alisema jana kuwa sheria inakataza wanachama wa umoja huo kukaa pamoja na kujadili masuala ya bei za mafuta na kwa hivyo isingewezekana kukaa kwani kitendo hicho ni kinyume cha sheria.

  Bisarara alisema kufuatia utekelezaji wa bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika mwanzoni mwa mwezi huu, kampuni zimekuwa zikiuza kwa bei ya hasara jambo ambalo hata hivyo, lilipokewa kwa mtizamo tofauti kutoka kampuni moja hadi nyingine.

  "Baada ya kutangazwa kwa bei mpya, kampuni zilijikuta zikipata hasara ya kati ya Sh150 na 250 kwa kila lita. Baadaye zilikuwa na mkutano na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini pamoja na Ewura kwa ajili ya kujadili suala hili. Katibu Mkuu aliyaomba yaendelee kuuza kwa bei ya hasara wakati suala hilo likitafutiwa ufumbuzi," alisema.

  Bisarara alisema wawakilishi wa kampuni hizo walimwomba Katibu Mkuu awape muda ili waweze kuwasiliana na wakubwa zao kabla ya kutoa jibu la ndiyo au hapana kuhusiana na pendekezo hilo.

  "Baada ya hapo kila mwakilishi aliwasiliana na wakuu zake. Mwakilishi wa Engen aliambiwa na wakuu wake anaweza kuuza kwa bei ya hasara kwa saa 24. Lakini baadhi ya vyombo vya habari viliripoti vibaya kuwa aliipa Serikali saa 24 kurekebisha bei jambo ambalo siyo la kweli hata kidogo."

  Alisema kuna tofauti kutoka kwa kampuni moja ya mafuta hadi nyingine na kuongeza kuwa zipo kubwa na ndogo na hata uwezo wao pia unatofautiana na ndiyo sababu kila kampuni ilipokea suala la bei kwa mtazamo wake.

  Mwakilishi wa Engen, Seelen Naidoo anayetuhumiwa kuipa Serikali saa 24 iwe imefidia hasara hiyo alisema kilichotokea ni kuwa alipewa ruhusa ya kuuza kwa bei ya hasara kwa saa 24 tu na huo ulikuwa ni msimamo wa kampuni yake akisisitiza haukuwa na uhusiano wowote na kampuni nyingine.

  Hata hivyo alisisitiza: "Hasara ya kati ya Sh150 hadi 250 kwa lita siyo ndogo. Wakubwa zangu walisema uwezo wetu wa kuuza kwa hasara ni saa 24 kwa sababu tungeendelea zaidi ya hapo tungeweza kupata hasara kubwa zaidi na hata kulazimika kufunga biashara maana tungekuwa tunakula mtaji."

  Vituo Dar vurugu tupu
  Kutokana na idadi kubwa ya wafanyabiashara kusitisha kuuza mafuta, vituo vichache vilivyotii agizo la Serikali jana vilikuwa na misururu mirefu kiasi cha kuweka ‘kanuni' za uuzaji. Kwa mfano katika Kituo cha Big Bon, Sinza hakuna aliyeruhusiwa kununua mafuta ya Sh 10,000 ili na wengine wapate.

  Hali katika kituo hicho ilikuwa tete kwani foleni ilikuwa kubwa na kufanya watumiaji wengine wa njia hiyo kushindwa kupita. Foleni kutoka katika kituo hicho kilichopo Sinza Mori ilifika mpaka Palestina hadi mchana baada ya wahudumu kusitisha uuzaji kutokana na ghasia ambazo zilisababishwa na watu waliokuwa wakilazimisha kununua mafuta kwa kutumia ‘vidumu'.Vituo vingi katika maeneo ya Tabata vilikuwa vikiuza mafuta ya taa na dizeli tu bila ya petroli.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  U likuwa mgawo wa umeme, sasa shida ya mafuta, next itakuwa chakula. Ee Mungu tunusuru
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  This is what happens when CCM dictates a populist fuel price cut without a proper investigation.
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,691
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Really?
   
 6. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,691
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  digg

  By Edward Qorro,The Citizen Reporter, Dar es Salaam.
  [​IMG]Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has floated budget proposals that entail slashing fuel levies by half as a way to control spiralling prices of this form of energy. But the proposals, delivered by the shadow minister for Finance, Mr Zitto Kabwe, have triggered mixed reactions, with economic experts noting that much as they make sense, implementing them would require immense dedication.Speaking on the proposals from Sumbawanga where he is conducting party activities, Mr Kabwe told The Citizen yesterday that the cost of living could be reduced drastically if the government slashed levies imposed on fuel by half.|

  He came up with three ways of tackling inflation, saying that if well implemented, these would ease pressure on the cost of living."As long as we have no control over fuel prices in the world market, it is important that we reduce fuel levy by fifty per cent. This is the only thing we can do if we want to control fuel prices," he said.

  But a researcher with the Economic Research Bureau (ERB) of the University of Dar es Salaam, Dr Haji Semboja, said reducing the taxes on fuel would not be helpful if the country won't support the State-run Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC).   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  hapa ukisikia kristu shika moyo ndo hali ya maisha tz...
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  tumerudi enzi za rationing ya nyerere. unapanga foleni masaa 3 ukifika unapata fuel ambabyo haikuwezeshi kuenda machakani unakoishi na kurudi kazini next day! sijui tunaelekea wapi! hivi ile gari ya veta ya solar inauzwa sh ngapi vile?
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,954
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  mbona equation hiko wazi kama ulivyosema, lazima next itakuwa ni chakula kwani kitafikaje sokoni bila mafuta kuwekwa kwenye gari ili liwake na kushika mwendo kutoka shambani hadi sokoni?
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Yeah,

  Rejea minutes za CC kikao cha mwisho Dodoma.
   
Loading...