Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
[h=1][/h]Written by Hassan10 // 14/07/2011 // Habari // No comments
Sitta aikataa nichani(Medali) ya uhuru wa nchi yao leo.
[caption id="attachment_31588" align="aligncenter" width="185" caption="Sitta aikumbuka hii ni Tambara la nchi gani?"] [/caption]Niharamu na zambi kumbwa kwa Mzanzibar kumuona anaikataa Zanzibar yake, Sisi Wzanzibar tutaendelea kuipenda nchi yetu na katu kwa hali yoyote ile basi tutajinata na kuona ufahari kuwa Wazanzibar tunakupa wingi wa shukurani M/mungu kuwa bado tuko Wzanzibar na kuona ufahari kuwa Wzanzibar kuliko Utanzania.
Lakini laaibu na fezeha ni ndugu zetu wa Tanganyika kuacha asili ya nchi yao na historia yao na kukumbatia Tanzania jina hata lisilo na historia.
Mimi najiuliza Jee Wtanganyika wote nikama vile Sitta mawazo ya kuikataa Tanganyika yao? kama ndio hivyo basi wamekula hasara, Wao hawajuwi kuwa Nyerere na Karume waliunganicha Tanganyika na Zanzibar na sio Tanzania? Tanzania tunawachia wenyewe kama munaipenda kuliko Tanganyika?.
Mapambano ya Wzanzibar hivi sasa ni kuwasaidia kurudicha Tanganyika yenu alio ipigania uhuru Baba enu wa Taifa Juliasi, laa ikiwa mutavunja Muungano kwa sababu tu yakurudi Tanganyika, basi kwetu sisi nifuraha tu,nani mwenye kukumbatia Muungano.
Hivi sasa Wzanzibar wote ccm Znz cuf Znz washachoshwa na vitimbi vya Muungano hili liko wazi sio kwa wajumbe wetu wanao ingia ktk Bunge la Tanganyika wala sio Bunge letu la Zanzibar wote tabani kwa vitimbi vya Muungano.
Mimi huchangazwa na W-Tanganyika wajitiao kuwa kama Wzanzibar hamutaki Muungano si museme tu, sasa tuseme mara ngapi munataka? Hakuna hata Mzanzibar moja anae taka Muungano hata ukiona mtu anajitia anautaka Muungano Zanzibar basi huendi hatua mbili utamnasa kuwa ndie chogo.
Kama Sitta na wenzake watakataa kuzaliwa upya kwa Tanganyika Basi tutawasulubu kwa jina hilo hilo Tanzania mulipendalo.
Long life Zanzibar.