Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

vipi kuhusu wivu?

The only difference between long distance na short ni kuonana kwa urahisi tu!!
Mengine yote ya kucheat..kudanganyana...kuingizana mkenge and what not yapo
iwe mbali au karibu!!Kama humuamini mtu akiwa mbali hata akiwa karibu tatizo litakua
pale pale kwasababu hujui anachofanya mchana akiwa kwenye mizunguko yake.....
kwahiyo cha muhimu ni kuaminiana tu!!!Na wivu kiasi kotekote unaongeza raha
ila sio ule wa kukesha usiku kucha ukilia!!!!
 
usually long distance love
goes wth a nearby sex partner.......lol
trust me i know...........
 
ha ha ha ha ha..........
here we go again........

michelle where are you????????

Naona soulmate anasafiri sasa mtu mzima hajatulia kuwaza je huko dubai aendako,wale wenye visima vya mafuta???

kazi ipo,ila kitaeleweka tu......:laugh::laugh: let me know if i can help you,will be happy!
 
I think its appropriate to pursue a long distance relationship BUT for a long distance to last there should be a shared vision,commitment,sacrifice,tolerance,trust and acceptance of the situation......jealousy will be there but i guess its minimal compared to when you are close to each other......
 
Naona soulmate anasafiri sasa mtu mzima hajatulia kuwaza je huko dubai aendako,wale wenye visima vya mafuta???

kazi ipo,ila kitaeleweka tu......:laugh::laugh: let me know if i can help you,will be happy!

i wish i comment on this.....
 
Naona soulmate anasafiri sasa mtu mzima hajatulia kuwaza je huko dubai aendako,wale wenye visima vya mafuta???

kazi ipo,ila kitaeleweka tu......:laugh::laugh:let me know if i can help you,will be happy! [/QUOTE]

Here we go again....alafu unalaumu mama mchungaji hawezi kukusaidia....mbona unajiingiza mkenge mwenyewe mama???:twitch:
 
Kuna wakati nahisi hunipendi mama Mchungaji,mimi huyu tulishaachana,tukabaki friends,yeye ana maisha yake nami nina yangu....sasa kama ana tatizo nisimsaidie mama Mchungaji???niambie tu,mi niondoke kwa hii thread.....:A S 20::A S 20:
 
Naona soulmate anasafiri sasa mtu mzima hajatulia kuwaza je huko dubai aendako,wale wenye visima vya mafuta???

kazi ipo,ila kitaeleweka tu......:laugh::laugh:let me know if i can help you,will be happy! [/QUOTE]

Here we go again....alafu unalaumu mama mchungaji hawezi kukusaidia....mbona unajiingiza mkenge mwenyewe mama???:twitch:

was it behind the curtains?
 
Inaua nyoka ikifuatwa!!!!

Ukiifata unafikiri nyoka atakusubiri ? lol

Hili swala la long distance relationships ni kiini macho tu ,hakuna kitu kama hicho labda kama mmekubaliana hiwe "open long distance relationship".

Ni vigumu kuwa kwenye long distance relationship na kuwa faithful kwa mwenzako.Binadamu tumeumbwa kuwa na matamanio ni vigumu sana kuzuia hivi vitu lakini kama wote mnakubali kudanganyana sio mbaya.

Mtakesha kwenye simu siku za mwanzo baadae mtaanza kuchokana na kugundua mnapotezeana mda.
 
usually long distance love
goes wth a nearby sex partner.......lol
trust me i know...........

Wewe ukipewa kijana mstaarabu unamharibu kabisa.....i will keep anyone am related to,far from you....l.o.l
 
Ukiifata unafikiri nyoka atakusubiri ? lol

Hili swala la long distance relationships ni kiini macho tu ,hakuna kitu kama hicho labda kama mmekubaliana hiwe "open long distance relationship".

Ni vigumu kuwa kwenye long distance relationship na kuwa faithful kwa mwenzako.Binadamu tumeumbwa kuwa na matamanio ni vigumu sana kuzuia hivi vitu lakini kama wote mnakubali kudanganyana sio mbaya.

Mtakesha kwenye simu siku za mwanzo baadae mtaanza kuchokana na kugundua mnapotezeana mda.

Unaua balaaaa, mbona tumekuwa nazo na tumekuwa waaminifu AW?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom