Lonely Oldman !

Endaku's

JF-Expert Member
May 25, 2007
321
47
Jamani natafuta mwenza wa kupitisha week ends tuuu ! kutoka pamoja na kufurahia maisha yaliyobaki ! Awe mdada mrembo anayejiamini kuwa mrembo na asizidi 30yrs , please !

sasa ww oldman unataka coy less than 30 yrs, sie vikongwe tutatoka na vijana less than 18 mama zao si watatukimbiza?kha!

hehehe pengine keshauwa kizee mwenziwe kwa mziki anaotembeza , sasa kaona bora atubie kwa vijana. hivi vizee huwa havina usharobaro, vikitembeza vifimbo mala unaona mwali kakimbia na kufuli mkononi.

Duuu Iko sawa mkuu , lakini 40yrs naona nshazeeka bana !

shkamoo babu!
Kila la heri katika kumtafuta bibi.

Mjukuu nawe wakaribishwa usiwe na hofu na babu ,hata jioni siku mojamoja waweza kuja kukoka moto au kunitayarishia gahawa bana ! usiogope !

Na Old Woman ulishamuua kwa ugonjwa gani, hadi uanze kutafuta na kunyemelea wajukuu zako???

na old woman ulishamuua kwa ugonjwa gani, hadi uanze kutafuta na kunyemelea wajukuu zako???

pole kama wewe wa kwako ulimuua kwa ugonjwa , mimi sijau ndugu yangu ! Maana anachowaza mtu ndicho afanyacho yeye !

hehehe,vitoto vya siku hizi vitamtoa nishai atarudi hapa na malalamiko hadi ushangae!! manake sijui vinapataga wapi tuisheni.mi nimeamua nijiunge na elimu ya watu wazima ila sijachagua kama nisome digrii ya majamboz,macare ama kuchuna!
hehehe pengine keshauwa kizee mwenziwe kwa mziki anaotembeza , sasa kaona bora atubie kwa vijana. hivi vizee huwa havina usharobaro, vikitembeza vifimbo mala unaona mwali kakimbia na kufuli mkononi.

Jamani natafuta mwenza wa kupitisha week ends tuuu ! kutoka pamoja na kufurahia maisha yaliyobaki ! Awe mdada mrembo anayejiamini kuwa mrembo na asizidi 30yrs , please !
hiyo wkend wapiii?

Mjukuu nawe wakaribishwa usiwe na hofu na babu ,hata jioni siku mojamoja waweza kuja kukoka moto au kunitayarishia gahawa bana ! usiogope !

sawa babu, ngoja tumpate bibi nitakuwa nakuja kila siku.

mkwe wa kambo, hivi nilishakuambia nakufyagilia sana? ila nimekuruhusu kuenda kumkokea babu moto sebuleni, fireplace ya bedroom atakoka mwenyewe.

hehehehe! Mkwe, step son wako akinikuta huko ndoa sina. Lol!
Halafu hawa mababu kwa kukonyeza! Ukiwaambia shkamoo anajibu poa. Khaaa!
Staki kabisa...mmh!

Tembelea mitaa ya kariaoo usiku ama sinza ama bguruni weekend huko imeiva na burudani imejaa yote mtu utakayo lkn usikumbuke shuka wakati kumekucha asubuhi

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom