Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehe hapo red vipi? kwema kaka?Jamani natafuta mwenza wa kupitisha week ends tuuu ! kutoka pamoja na kufurahia maisha yaliyobaki ! Awe mdada mrembo anayejiamini kuwa mrembo na asizidi 30yrs , please !
sasa ww oldman unataka coy less than 30 yrs, sie vikongwe tutatoka na vijana less than 18 mama zao si watatukimbiza?kha!
hehehe pengine keshauwa kizee mwenziwe kwa mziki anaotembeza , sasa kaona bora atubie kwa vijana. hivi vizee huwa havina usharobaro, vikitembeza vifimbo mala unaona mwali kakimbia na kufuli mkononi.
hehehe hapo red vipi? kwema kaka?

Duuu Iko sawa mkuu , lakini 40yrs naona nshazeeka bana !

shkamoo babu!
Kila la heri katika kumtafuta bibi.
na old woman ulishamuua kwa ugonjwa gani, hadi uanze kutafuta na kunyemelea wajukuu zako???

hehehe pengine keshauwa kizee mwenziwe kwa mziki anaotembeza , sasa kaona bora atubie kwa vijana. hivi vizee huwa havina usharobaro, vikitembeza vifimbo mala unaona mwali kakimbia na kufuli mkononi.
hiyo wkend wapiii?Jamani natafuta mwenza wa kupitisha week ends tuuu ! kutoka pamoja na kufurahia maisha yaliyobaki ! Awe mdada mrembo anayejiamini kuwa mrembo na asizidi 30yrs , please !

Mjukuu nawe wakaribishwa usiwe na hofu na babu ,hata jioni siku mojamoja waweza kuja kukoka moto au kunitayarishia gahawa bana ! usiogope !
hiyo wkend wapiii?

sawa babu, ngoja tumpate bibi nitakuwa nakuja kila siku.

sawa babu, ngoja tumpate bibi nitakuwa nakuja kila siku.

mkwe wa kambo, hivi nilishakuambia nakufyagilia sana? ila nimekuruhusu kuenda kumkokea babu moto sebuleni, fireplace ya bedroom atakoka mwenyewe.