Lonely Me...... Nimefiwa na baba yangu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,460
154,324
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba yangu mzazi.
Nimeachwa mpweke sana, na kesho natarajia kwenda Usukumani kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.
 
Oooh pole sana bujibuji..Mungu ailaze roho yake mahali pema anapostahili..uwe na moyo mkuu wakati huu mgumu wa msiba..
 
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba yangu mzazi.
Nimeachwa mpweke sana, na kesho natarajia kwenda Usukumani kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.

Pole sana mkuu............. Mungu akutangulie katika safari yako ya huko Mazikoni.............
NIta-Miss sana changamoto zako hapa JF
 
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba yangu mzazi.
Nimeachwa mpweke sana, na kesho natarajia kwenda Usukumani kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.

Mulungu akutongele namhala!

Pole sana Mkuu Mungu akusimamie katika siku hizi za majonzi na akupe nguvu.

Raha ya Milele umpe eeeh Bwana! Na Mwanga wa milele umwangazie! Apumzike kwa Amani! Amina
 
Pole sana buji..... Kazi ya mungu haina makosa.
Kwa mara ya kwanza tangu nianze kusoma post zako, leo nimesoma post yako bila tabasamu usoni pangu
 
Pole sana mpendwa! Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe! Mungu akutangulie katika safari yako. RIP baba Bujibuji!
 
You are niot alone Mkuu Bujibuji. You have all of us here, we are grieving alongside you. Pole sana kwa msiba
 
Pole sana ndugu. I can only imagine how sad this must be to you, Mungu akupe nguvu katika kipindi hichi. Sina neno la kusema ila kumbuka bibilia inasema: a faith and knowledge resting on the hope of eternal life, which God, who does not lie, promised before the beginning of time (Titus 1:2), Na pia faham ya kwamba kuna ahadi ya kuonana tena: Revelation 21:4: He will wipe every tear from their eyes. There will be no more death or mourning or crying or pain, for the old order of things has passed away."
Be strong na jaribu kujichanganya
 
Pole kwa kufiwa lakini rekebisha usemi wako wa kwamba mlishibana sana, kama vile ndo sababu ya kusikitika kwako. Hata msingeshibana, msiba huo ni mzito.
 
Pole sana Buji....wewe ulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi....sote tu njia moja......roho yake ilale mahali pema peponi
 
hizi rangi zinanichanganya....tazama ya faiza na ya kwetu wengine
wote premium but rangi tofauti..nini maana yake?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom