London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

Nimeamini ushoga mgumu! Hata Lissu hajawaunga mkono wazungu kwa ushoga! Kila kitu cha serikali anakipinga sasa hili la ushoga naona katulia.
 
We are making headlines for wrong reasons
Selective news. Jpm kawatwanga kwenye strigglers gauge mbona hawasemi kitu. Kuna habari nyingi nzuri hawasemi? . Hutasikia cnn inatangaza Serengeti Kilimanjaro wala Zanzibar.
 
Wach
A London agent Nick Harding-McKay, owner of Balham-based Travel Designers, has written to his supplier partners asking them to avoid selling the east African country “while such threats to a large section of the community are in place by their government”.

He also added that the governor’s announcement could pose a threat to tourists in the area.

Harding-McKay’s plea followed the news that Paul Makonda, governor of the country’s economic capital Dar es Salaam, told reporters round-ups of gay people would begin in the next week.

Makonda said a surveillance team would also scrutinise social media in order to track down and arrest people who are in same sex couples.

"Give me their names," Makonda was reported as saying by AFP news agency. "My ad hoc team will begin to get their hands on them next Monday."

Anti-LGBT rhetoric has been growing in Tanzania since President John Magufuli took office in 2015.

Makonda, who BBC News described as a “staunch ally” of the president, admitted he expected criticism from the international community over the move, but said: “I prefer to anger those countries than to anger God.”

Harding-McKay said he was still waiting to hear back from most supplier partners, but Andy Freeth, chief executive of If Only replied to say that while the operator did not currently sell Tanzania, the “awful comments” of the governor meant it would “not be featured though If Only anytime soon” unless the situation “dramatically changed”.

A spokesperson for the Tanzania Tourism Organisation, which is a private sector initiative, said: “It is hugely disappointing to hear of any type of prejudice, anywhere in the world.

"We are not fully aware of the legislation or of the actions being undertaken, at present. But the tourism industry is a key contributor to GDP in Tanzania, therefore I would anticipate that the entire tourism industry in the country will want to urgently debate this with the government and act accordingly”.

Agent urges operators to avoid Tanzania after witch-hunt of gay people announced

My Take: Maamuzi yetu japo mazuri lkn yatainufaisha Kenya kwenye sekta ya Utalii.
Huo ndio udhaifu kwani kipi muhimu kudumisha tamaduni zetu au pesa za mashoga,wacha wasitishe na waende kokote,nao wataathrika kibiashara,kwani Ngrorngoro ipo Tanzania,ukitaka kukwea Mlima Kilimanjaro lazima waje Tanzania,wacha waende,ni sawa na kusema au kuambiwa na jirani yako mwenye pesa mlete binti yako nimuwowe ,kama hutaki sikupi hela,je kwa ujinga wako utampeleka huyo binti wako au utakataa huo msaada wake.Uhuru Kenyata alipinga ushoga na kusema Kenya sio nchi ya kuja kufanya ushoga,je walimfanya nini,eti mtu mwenye kitour chake anataka aitishe nchi ,huu si upunguani huu.Na nyie kwa ujinga wenu mnaona hilo nalo jambo la kushadadia
 
Vitu vingine ni kutotumia akili tu. Wana attract attention bila sababu yoyote. Hivi vitu unaweza kivifanya kimya kimya na matokeo yake yakawa mazuri kuliko kupayuka payuka ovyo.

Wakifanya kimya kimya watapata wapi sifa?
Kila wanalofanya wanataka wasikike ili wasifiwe.

Maadam wameamua kuyafanya haya, ngoja tusubiri kuona watafika wapi.

Sasa imekuwa kila jambo ni 'confrontational' tu hawana njia nyingine. Sijui nani anawadanganya kuwa njia hii ndiyo itakayoleta matokeo chanya!

Inawezekana pia ikawa ni njia yao ya kutafuta huruma kutoka kwa wananchi baada ya kuhisi mambo yao mengi wanayoyafanya hayawafurahishi wananchi wengi.

Kwa hiyo wanatafuta ugomvi na taasisi na nchi za nje ili wananchi waone nchi yetu inashambuliwa kwa hiyo kulazimika kuwa upande wa nchi hata kama mambo yanayoleta mfarakanyo sio ya mhimu kiasi kile.

Wanataka kupima 'uzalendo' wa wananchi kwa nchi yao kwa kuanzisha tafaruku juu ya mambo ya hovyo hovyo, kama hili la ushoga.
 
NAMSHAURI BWANA MAKONDA KAMA ANAMALIZAKE NJE YA NCHI AKAZIRUDISHE MAPEMA SANA MAANA KINACHOFUATA NI KUNYIMWA VISA ZA KUINGIA NCHI ZA MASHARIKI NA KUWEKEWA VIKWAZO VYA UCHUMI YEYE BINAFSI-SANCTION HUWA NDO SILAHA YAO YA JADI HAWA WATU
 
Selective news. Jpm kawatwanga kwenye strigglers gauge mbona hawasemi kitu. Kuna habari nyingi nzuri hawasemi? . Hutasikia cnn inatangaza Serengeti Kilimanjaro wala Zanzibar.

CNN na wengineo wanaishi kwa matangazo, hawawezi kukutangazia vivutio vyako bure! peleka pesa ya matangazo utayaona kunazia kesho
 
NAMSHAURI BWANA MAKONDA KAMA ANAMALIZAKE NJE YA NCHI AKAZIRUDISHE MAPEMA SANA MAANA KINACHOFUATA NI KUNYIMWA VISA ZA KUINGIA NCHI ZA MASHARIKI NA KUWEKEWA VIKWAZO VYA UCHUMI YEYE BINAFSI-SANCTION HUWA NDO SILAHA YAO YA JADI HAWA WATU
Nilikuwa nawaza kitu kama hicho kumtokea Makonda binafsi.
 
Wach

Huo ndio udhaifu kwani kipi muhimu kudumisha tamaduni zetu au pesa za mashoga,wacha wasitishe na waende kokote,nao wataathrika kibiashara,kwani Ngrorngoro ipo Tanzania,ukitaka kukwea Mlima Kilimanjaro lazima waje Tanzania,wacha waende,ni sawa na kusema au kuambiwa na jirani yako mwenye pesa mlete binti yako nimuwowe ,kama hutaki sikupi hela,je kwa ujinga wako utampeleka huyo binti wako au utakataa huo msaada wake.Uhuru Kenyata alipinga ushoga na kusema Kenya sio nchi ya kuja kufanya ushoga,je walimfanya nini,eti mtu mwenye kitour chake anataka aitishe nchi ,huu si upunguani huu.Na nyie kwa ujinga wenu mnaona hilo nalo jambo la kushadadia
Watalii hawaji Tanzania kwa matangazo ya TBC1 au gazeti la Mzalendo mtu hakurupuki leo kwenda kukata tiketi kuja kupanda mt Kilimanjaro kuna ma agents ambao kazi yao ni kumshawishi atembelee nchi gani, kuhusu usalama wake, usafiri, hotel nk.

Huko ulaya wengi wanajua mlima Kilimanjaro uko Kenya kazi ya ma agents hao ni kuwaambia hao watalii kuwa uko upande wa Tanzania.

Uhuru Kenyatta hakukurupuka kama anavyokurupuka Makonda aliwaambia in a diplomatic way.
 
Sikubaliani kabisa na hii ishu ya ushoga KABISA ila tatizo MAKONDA anaihandle vibaya hii ishu anaipa attention kubwa Sana bila kujua anaiweka nchi yenye kutegemea wahisani pabaya..... Tanzania so nchi ya Kwanza kukataza hi ishu ila ni vuzuri Hawa watu tukadeal nao kwa njia sahihi isiyosumbua Mana naona Sasa TANZANIA TUNAGEUKA SEHEM YA KUTANGAZA USHOGA.

Hivi kusoma CFR pale Kurasini inatakiwa uwe na qualifications zipi?
 
Vitu vingine ni kutotumia akili tu. Wana attract attention bila sababu yoyote. Hivi vitu unaweza kivifanya kimya kimya na matokeo yake yakawa mazuri kuliko kupayuka payuka ovyo.
Hataivo hili zoez litasitishwa kimyakimya wala hautojua limeishia wapi.
 
CNN na wengineo wanaishi kwa matangazo, hawawezi kukutangazia vivutio vyako bure! peleka pesa ya matangazo utayaona kunazia kesho
Hata safari ya Obama in serengeti?. Hujaelewa maana yangu positive news
 
Hawa nao ndumila kuwili. Mbona walinyamaza wakati majaji wa mahakama ya Ulaya walipoamua kuwa ushoga hautakiwi? Au kwa sababu ni Tanzania?
 
Back
Top Bottom