London shows Solidarity on the US killing by demonstration with the theme “I can’t breathe “

Hukuandamana alipomwagiwa risasi Tundu Lissu, hukuandamana , alipouawa Akwilina, eti leo unataka kuandamana kwa kifo cha Floyd ambacho hata haujui sababu zake.
Jamii ya sasa hivi ni ya kimihemko sana, mmetawsliwa sana na Hysteria.
Kumbe Tundu lissu na akwilina yalikuwa ni matukio ya ubaguzi wa rangi basi nilikuwa sijui ilo. Alafu siku nyingine utoe maoni yako, usipende sana kupita pita nyuma ya comment za watu.
 
London ni mji wa pili nafikiri kwa cctv duniani maana sio kwa camera hizo
Mhalifu unadakwa tu
Kuna wakati nilifanya kazi kwenye GP surgery. Ndipo nilipojua kuna uhusiano mkubwa na wakaribu kati ya polisi na raia. Kila mwisho wa mwezi waliandaa dinner, pharmacists, doctors, social workers, youth workers wanakutana. Polisi wanajua raia wote wa eneo. Wakati wa dinner wanasema Bill ametoka jela juzi, doctor na pharmacist na polisi wanajua wa heroin na methadone wote.

Ukiwatajia polisi teja, wanakwambia yule hana madhara.
 
Kumbe Tundu lissu na akwilina yalikuwa ni matukio ya ubaguzi wa rangi basi nilikuwa sijui ilo. Alafu siku nyingine utoe maoni yako, usipende sana kupita pita nyuma ya comment za watu.
Sasa kama nyuma yako pamenivutia ulitaka nifanyeje
 
Kuna wakati nilifanya kazi kwenye GP surgery. Ndipo nilipojua kuna uhusiano mkubwa na wakaribu kati ya polisi na raia. Kila mwisho wa mwezi waliandaa dinner, pharmacists, doctors, social workers, youth workers wanakutana. Polisi wanajua raia wote wa eneo. Wakati wa dinner wanasema Bill ametoka jela juzi, doctor na pharmacist na polisi wanajua wa heroin na methadone wote.

Ukiwatajia polisi teja, wanakwambia yule hana madhara.

Hawa police wa huku wanaitendea kazi yao kwa haki haswa
Yaani wanakujua kama wewe maisha yako utakuwa mtu wa aina gani
Nawakubali sana hawa wazungu kwenye suala la policing
 
Kuna daktari mmoja kutoa Nigeria alikuja na watoto wake wadogo. Akiwa katika harakati za registration mambo yalikuwa mengi alishindwa mitihani aliishia ku over stay. Aliwafundisha watoto kuwa polisi ni watu wema wanaokoa raia wakiwa na matatizo.

Kina waliomchoma, siku isiyo na jina nyumba yake ikavamiwa na wajomba wakiwa na immigration officers. Watoto waliuliza Baba ana matatizo? Nyinyi mnasaidia watu wenye matatizo.

Hata ile case wajomba waliiongoza kwa heshima ya wale watoto.
 
Hukuandamana alipomwagiwa risasi Tundu Lissu, hukuandamana , alipouawa Akwilina, eti leo unataka kuandamana kwa kifo cha Floyd ambacho hata haujui sababu zake.
Jamii ya sasa hivi ni ya kimihemko sana, mmetawsliwa sana na Hysteria.

Na jamii kama yako inayoshindwa hata kukemea tu mostly inasumbuliwa na Bawasiri.
 
Hukuandamana alipomwagiwa risasi Tundu Lissu, hukuandamana , alipouawa Akwilina, eti leo unataka kuandamana kwa kifo cha Floyd ambacho hata haujui sababu zake.
Jamii ya sasa hivi ni ya kimihemko sana, mmetawsliwa sana na Hysteria.
Du! Kwahyo jamii ya sasa wote wanawake?
 
Kuna daktari mmoja kutoa Nigeria alikuja na watoto wake wadogo. Akiwa katika harakati za registration mambo yalikuwa mengi alishindwa mitihani aliishia ku over stay. Aliwafundisha watoto kuwa polisi ni watu wema wanaokoa raia wakiwa na matatizo.

Kina waliomchoma, siku isiyo na jina nyumba yake ikavamiwa na wajomba wakiwa na immigration officers. Watoto waliuliza Baba ana matatizo? Nyinyi mnasaidia watu wenye matatizo.

Hata ile case wajomba waliiongoza kwa heshima ya wale watoto.

Hawa jamaa wametuzidi sana kwa utu na sheria wanazifuata haswa ila ukiingia kwa ukorofi unakipata na utaumia kiakili na mfukoni pia
Nawakubali sana yaani ukifuata sheria Mbona unaishi kwa raha sana
 
Bongo kabla watu hawajaandamana, Kamanda anapiga mkwala kwamba waandamanaji watapigwa kama mbwa koko.

Waandamanaji watarajiwa wananywea.

Marekani kamanda wa polisi akisema hivyo, kwanza huo moto atakaowashiwa na wafugwa mbwa tu kwa kauli ya kudhalilisha mbwa utakuwa ni maandamano mengine tofauti ya kumtaka ajiuzulu. Kwa hiyo kauli ya mbwa koko tu

Hapo hata hujagusia habari za kutisha watu wanaotaka kutimiza haki zao za kikatiba.
Kwa kweli jamaa wametuzidi pakubwa sana
 
Back
Top Bottom