LONDON: Kibelloh & Disturbing News!

Apr 27, 2006
26,588
10,374
Wazee nimeshitushwa na habari nzito za kwamba balozi wetu huko London aliyehamishiwa Paris, kuwa amechukua picha ambazo ni mali ya serikali yetu, kwa maana halisi ni kwamba "AMEZIIBA", kama habari nilizotumiwa ni za kweli,

kuna wananchi ambao wamenitumia habari hizi kwenye sanduku langu, I am shocked mpaka kwenye mifupa yangu sina nguvu, isipokuwa ninasema kwamba Mzee wangu Kibelloh kama unaingia humu please jibu haraka na ufafanue kuhusu hiyo issue ya picha, off course nitalifuatilia hili mpaka nione mwisho wake,

Something happened, haiwezekani kuwa watu wote walionitumia hizi habari ni waongo, na bado siamini kuwa ni kweli, ila ninaamini kuna something, please njoo hapa useme ukweli, na kama kuna mwenye more info ninaomba waziweke hapa au nitumie kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com!
 
ES,

Fafanua ameiba picha gani? picha za parties za ubalozini, picha ya rais au picha za kuchora zilizonunuliwa na serikali?, sorry ila sijaelewa.

FD
 
Mzee Es,

I salute your impartiality, let other members emulate this.
 
bahobahobao nyumbi hii bombii hii . Kwa nyumba naona umekuja na habari ya kunipa raha lakini kumbe moyoni naumia sana .Nasema tena kwa sauti kwamba Vingozi wa Serikali ya CCM kuiba ama kuchukua mali za nchi ni kawaida .Leo unasema Kibelloh na mapicha , lakini kumbuma Mwinyi akiondoka Ikulu na fanicha zetu na Mkapa kaondoka na nyumba za sirikali na JK sijui ataondoka na nini ama ndiyo kesha tuunza US maana hata nyumbani anaona taabu kurudi anatalii tu mcheza cinema yule .
 
Twibilitwibili,
Umekuwa wapi mzee? Yaani awamu ya nne nayo itajipakulia mali ya umma pindi muda wao utakapomalizika? Kwa mtaji huu serikali itabaki na nini?
 
Mwanakijiji,
Mali za serikali ni national treasure. Zina historical value.
 
Ninajaribu ku-make a sense of this, nimetumiwa message nyingi kuhusu hiyo issue, bado ninajaribu kufuatilia habari kuwa kwanza kama ni kweli? halafu ni picha gani hizo? na gharama yake? na ni za serikali kweli?

Ninasema siku zote kuwa kwenye taifa langu sina rafiki, wananchi walionitumia hizo message wananiamini hivyo na hata siku moja sitamuangusha mwananchi yoyote kwa sababu ya kujuana na kiongozi, habari hizi zimenishitua sana kwanza nilifikiri ni mzaha lakini nikaona message zinazidi tena kutoka London,

kwa hiyo subira ndugu zangu mpaka tupate the bottom line ya hii issue, I mean something happened sijui ni nini lakini I smell like something!
 
Nililikuwa nakushangaa wakati unapiga debe kuuuuubwa juu ya Kibelloh siku hizo na kudai anasingiziwa .Sasa umeona pure Kibelloh only if you did not know before .Ila kama ulijua unatuzuga basi Mungu huwa hamfichi mnafiki na Kibelloh kahamisha mali hizo na ikiwa ni kweli ina maana hata Paris akiambiwa kazi basi anaondoka nazo .
 
Hapana so far ni accusations tu sio ukweli, watu walionitumia nimewaomba wanipe basi angalau kianzio lakini ninaona kimyaa vipi? Nimesikia matatizo mengi ya balzoi huyo ila la wizi sijawahi kusikia,

halafu ninakuomba kitu kimoja kama una data mwaga hapa, kumwita kiongozi mwizi bila ya kuwa na data angalau moja ndio unafiki wenyewe!

Mwenye data aziweke hapa jinsi Kibelloh alivyo mwizi, FULL STOP!
 
Kabla sijaondoka, ninaifunga hii mada kwa kusema kwamba hakuna ushahidi wa kutosha juu ya Balozi Kibelloh kuiba picha za serikali pale London, at this point ninasema huu ulikuwa ni uzandiki na majungu, maana watu wote walionitumia message nimewaomba watoe angalau uthibitisho, I mean just say something! lakini hakuna kitu,

huko majuu nimefuatlia kwa makini na hasa kwa kuongea na wazee wengi wa London, lakini nimeishia kupata habari za adui wake Kibelloh mkubwa aliyebaki pale London, ubalozini, jinsi alivyo-sneack siku moja ya Jumapili, na kumpeleka balozi mpya, ambaye hakuwa pale rasmi alikuwa akipita tu kwenda nchi nyingine, yeye akamchukua na kumpeleka ofisini ubalozini, na kumuonyesha mambo mengi nyeti ambayo hakutakiwa kuyaona mpaka baada ya kuwasilisha hati zake kule kwa wazungu, kwa bahati mbaya wakiwa katika hiyo process, ofisa mmoja alikuja pale ubalozini kwa bahati mbaya na kuwakuta, AIBUUUUUUUUUU!

Lakini as of picha zilizoibiwa hakuna data, data nilizozipata tu ni kwamba balozi Kibelloh, kabla hajahamia Paris, aliamua kuanzisha tabia ya kuwaorodhesha kwa picha zao ukutani viongozi wote waliowahi kuwa mabalozi pale London,

Until mjumbe yoyote atakapoleta data hapa on hii issue, ninasema huu ulikuwa ni uzandiki na uongo, yaani ndio unafiki wenyewe,

Balozi Kibelloh endelea na kazi yako ya kuwakilisha taifa letu huko France, na pole kwa kazi kubwa ulioifanya kwa muda wa masaa machache tu uliyopewa kukamilisha safari ya rais wetu wa Jamhuri, Mzee Jakaya ya kutembelea Timu ya Real, kazi uliyoifanya tuliiona na ninatoa heshima kwako kwa jinsi rais wetu alivyopokelewa kwa heshima kitu ambacho wenyeji hao the night before, walikuwa wamekataa kuwa haingewezekana kutokana na muda mchache,

Thank You Bro!

Es Systeme!
 
Mie niliwahi "kumtetea" mtu flani kwa mantiki hiyohiyo ya kwamba "accussations should only be made when accompanied with relevant evidence" nikatolewa mimacho kinoma.Naafikiana nawe Mzee ES kwamba kutoa tuhuma dhidi ya mtu kwa misingi ya tetesi bila kuambatanisha ushahidi ni sawa na majungu.

Pengine hili ndilo tatizo linalokwamisha uendaji wa kazi wa taasisi kama PCB kwa sababu while some people are so quick to point fingers at someone they hardly come up with any supporting evidence to substantiate the accussations.Na ni kwa mantiki hii ndio maana binafsi navutiwa na efforts za magazeti kama This Day na Kulikoni kwa sababu when they come up with a story yanataja majina na kuprovide facts walizonazo,japokuwa baadhi ya watu wanayalaumu kuwa yanafanya hivyo kwa maslahi binafsi ya owner wake.Na ukiwauliza wana uthibitisho gani kuwa hayafanyi hivyo kwa maslahi ya Taifa na sio mtu binafsi (owner) utaambiwa unamtetea owner huyo.Crazy world!
 
Heshima yako mkuu,

Ninasema sisi hapa forum sio wajinga wewe sema anything, I mean just something tunajua ukweli uko wapi na kamba ziko wapi,

Can somebody just say something?
 
Nakubaliana nanyi waheshimiwa kuwa haifai kutoa wala kuintertain empty accusations. Msingi huu utumike katika issues zote, isiishie pale ambapo the accused ni rafiki, ndugu au tuna sympathy nae kwa sababu moja au nyingine.

What I have seen in a number of issues humu, mada nyingine huanzishwa kwa misingi ya tetesi, na wachangiaji baadae huongeza tetesi/ukweli wanaoujua wao mpaka zinajulikana mbivu na mbichi. Mifano ni mada hii ambayo mzee ES aliileta ili kupata data kutoka kwa wenye nazo .. lakini hazijakuja so far. Na mfano mwingine ni ule wa mada ya 'Hii ni kweli?' ambayo nayo ilianzishwa purely based on 'tetesi' ya kuwa JK huenda akaenda tena US mwezi ujao (i.e. mwezi huu).. .kukaongezwa na 'nyepesi nyepesi' humo kuwa JK ana 'kimwana' Houston! The same happened to iliyokuwa mada ya Reginald Mengi na Mabilion yaliyopotea. Zote hizi huchangiwa na wasomaji wakaamua wenyewe.

I wonder where do we draw the line... (?!)
 
Mzee Kulikoni,

Nafikiri by now umeona kuwa wananchi hapa sio wajinga, umeona issue ya JK na Real Madrid, jinsi wananchi walivyoikataa kuwa ni NONESENSE na NONE-ISSUE,

On my part hata siku moja siwezi kuwatetea washikaji tu, NO! ila siwezi kutetea viongozi ambao hata bila ya ushahidi ninajua kuwa ni wachafu,

Otherwise nimekusikia mkuuu!

I will be back, soon!
 
Mzee Es said:
Heshima yako mkuu,

Ninasema sisi hapa forum sio wajinga wewe sema anything, I mean just something tunajua ukweli uko wapi na kamba ziko wapi,

Can somebody just say something?

Unless sijakuelewa lakini intention ya contribution yangu ilikuwa kukusapoti.
 
Mzee Es said:
Mzee Kulikoni,

Nafikiri by now umeona kuwa wananchi hapa sio wajinga, umeona issue ya JK na Real Madrid, jinsi wananchi walivyoikataa kuwa ni NONESENSE na NONE-ISSUE,

On my part hata siku moja siwezi kuwatetea washikaji tu, NO! ila siwezi kutetea viongozi ambao hata bila ya ushahidi ninajua kuwa ni wachafu,

Otherwise nimekusikia mkuuu!

I will be back, soon!

Unfortunately,kwa mtazamo wako ishu ya JK kuileta Real Madrid "imekataliwa na wananchi kwa vile ni NONSENSE na NON-ISSUE".Mimi ndie niloiposti,and it needed more than a simple mind kuelewa logic yake.It was satirical:Rais amekwenda kwenye ziara ya zaidi ya wiki mbili,na tunaambiwa kuwa moja ya "mafanikio" ya ziara hiyo ni kuileta Real Madrid bongo,as if timu hiyo ikija basi matatizo ya mgao wa umeme yatakwisha,or something like that.

Kwa kuwa naheshimu na kuthamini mchango wako Mzee ES kamwe siwezi kui-describe contribution yako yoyote kuwa nonsense au non-issue.Watu kutokuchangia hoja haimaanishi kuwa ni ya kipuuzi,na mada kuchangiwa sana haimaanishi kuwa ni ya muhimu zaidi ya nyingine.Pamoja na hiyo ishu ya JK na Real Madrid kuna topic zifuatazo ambazo niliziposti na hakuna mtu aliyezichangia:
1."JK:Ninayo majina ya vigogo wa madawa ya kulevya"
2."Lowassa:Wakati wa maisha bora kwa Watanzania umewadia" (another satire)
3."Umeme wazidi kuleta kilio...maumivu mtindo mmoja"

Hivyo vyote vilikuwa vichwa vya habari vya magazeti yetu ya nyumbani,na napoviposti lengo langu kuu sio kutafuta sifa ya kuona hoja yangu imechangiwa na watu kadhaa au kujiskia aibu kwa vile haikuchangiwa,bali ni kuhabarisha.Kuna mada nyingine kama "Karibu Radio Butiama","What lessons can Tanzania learn from Malawi","Suala la Kadhi ni la Watanzania (by Mwanakijiji)" na "African leader details AIDS crisis (ya Administrator)",to mention only a few,ambazo zote hazikuchangiwa na member yoyote,lakini sidhani kwa vile zilikuwa nonsensical au non-issue (ukizisoma utakubaliana nami),unless unataka kutuambia kuwa hata mada yako ya "MUGABE:African hero?" (june 11,06) nayo haikuchangiwa kwa vile ilikuwa nonsensical (I personally dont think so).

Kama ilivyo huru kwako Mzee ES kufanya conclusion about my topic,ndivyo ilivyo huru kwa watu wengine kuchangia au kutochangia mada,same as ilivyo huru kwangu as member kuweka mada kwenye bodi bila kujali kama itachangiwa or not.Some topics are just informative,some are satirical and humorous,some are brought for a purpose of stimulating a discussion.If something is nonsensical or non-issue to you it doesn't necessarily mean to be the same to other members,unless you had conducted an opinion poll whose findings made you to come up with such a conclusion.
 
Mlalahoi,

Suala la Real Madrid ni non-issue lakini sio nonsense.

Mtazamo wangu huo.

FD
 
Back
Top Bottom