Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,230
- 659
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Halafu tukishajua ndio tufanye nini???? hii inatuhusu nini sisi....After a heavy defeat we are waiting to see if Ken Livingstone can muscle Boris Johnson to retain his position ..in two hours time we will know.
...Dua kama unafatilia mambo ya huko... BBC(World) wanasema Boris Kashinda.........After a heavy defeat we are waiting to see if Ken Livingstone can muscle Boris Johnson to retain his position…………………………..in two hours time we will know.
....Kijakazi naona unasahau nguvu aliyonayo mtu kama mayor wa mji huo wa London katika ulimwengu huu wa utandawazi.....Halafu tukishajua ndio tufanye nini???? hii inatuhusu nini sisi....
kwa nini usitafute foramu za waingereza mkachangie hizo hoja???
Kuna sababu nyingi ambazo zimewafanya hawa jamaa wa Conservatives wawanyasa Labour. Moja ni kwamba, baada ya zaidi ya miaka 10 ya utawala wa Labour, kwa mujibu wa pundits wa siasa za Uingereza, wananchi wa Uingereza wamewachoka na wanataka mabadiliko. Kwa hiyo sio lazima kwamba Labour na Brown wameboa sana ama kwamba Tory wanapendwa sana, la hasha, ni kutaka mabadiliko tu.
Sasa swali la kujiuliza tutafanyeje kuwatia hamasa wananchi wetu wapende mabadiliko katika mambo ya utawala. Au niweke kwa namna ingine: tutafanyeje kuwashawishi wananchi wetu kwamba CCM sio dini yao bali ni chama tu cha siasa na kuachana nacho sio dhambi na wala hautakuwa ndio mwisho wa Tanzania?
PS: Mtanzania upo mkuu mpaka hapo maana hii kitu tumebishana sana huko nyuma? Kwa siasa za leo katika dunia hii, ni uonevu mkubwa kumpambanisha Gordon Brown na David Cameron, hili hata Tony Blair amekiri. Sasa labda Labour wamteme Brown, vinginevyo uchaguzi ujao wameliwa