Loliondo: Tujifunze kufikiri kinyume

Miruko

Senior Member
Feb 8, 2008
173
46
Baada ya taarifa ya serikali hapo jana kueleza kuwa dawa ya Babu wa kule Samunge haina madhara, wengi wamefurahi, hasa wale waliopata kikombe.

Fikra kinyume inahoji, je, ingekuwaje kama ingebainika kuwa dawa hiyo inayotokana na mti wa Mugariga ina madhara kwa binadamu ambayo labda yangejitokeza baada ya muda mrefu?>>>Endelea nayo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom