Lokole yamekukuta

Lol yamemkuta mwari kigegooo kweli ukishadadia ya wenzako ya kwako yatapigiwa mbiu kabisaaaa
 
Tukienda party tufanye ummmhalaiyaa malhaiiya dah et lijanaume zima linalopoko eeh yule kaka mzuriiiii nahisi na ubyoo wake utakuwa mzuri dah hillnas niunganishie basi maana naskia anajua mapenz yule........ Kiukwl juma likole umetuaibisha sana wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Kajiaibisha mwenyewe na familia yake mkuu, kama ww ni straight hakuna haja ya kuumizwa kichwa na scandal za hawa mabwabwa coz wao sio wanaume ila ni mashoga, ndo maana kwa baadhi ya online sites za social,ecommerce au news ukiwa unajiunga pale kwenye gender wameongeza, haziko mbili tena, utakuta zipo tatu
 
Mwali wangu yamemmkuta mazito Jana . Hivi sijui sura yake ataiweka wapi maskini , hadi shoga zake akina mama dangote wamemkana amewatia aibu , Tatizo mwali na wewe umezidi mdomo mno , Kwan unadhani watu hawajui uchafu wa mastaa wengi hapa mjini ? Wenzio wanajiheshimu ndio maana na wao mambo yao yanastiliwa, Sasa ndugu yangu na Mimi kujifanya mdomo juu juu kama side mirror ya Suzuki umeenda kumchokonoa FBI wa umbea na yamekukuta, najua unajifanya you don't care Ila deep down umefedheheka sana , maana hata wale mastaa uliokua unakaa nao karibu watakukwepa kuogopa scandal .

Dah eti kabisa unasifia dyudyu, ndio wanazengo tunajua vizur habar zako, Ila siku zote unaambiwa bora tetesi kuliko mtu aje na ushahdi, yan duh umeaibika kwa kweli hata ujifanye you don't care.

Kwenye voice ya hamisa ulivyokua unashupalia Leo yamekukuta ama kweli Mungu sio athman, kama namuona hamisa anavyo sip champagne akikucheka, maana domo alikuonjeshq tu mwanamwali na wewe ukajikuta zari , teh the loh


Sent from my iPhone using JamiiForums
Best umerudi na uzito wa habari zako
 
Kuna video anashuka kwenye mti anakata viuno yan daaa,nilitaman hata nichukue mguu wa kuku nikamchape shaba huko aliko...
 
Pole yake mwari ila hapo ndio atapata soko maana hata wale walikuwa waoga kumfata sasahv ndio fungulia geti soon ataanza sukuma gari nzuri
 
Back
Top Bottom