Loh! Majanga ni mengi huku tunakoelekea kuufunga mwaka 2013 tazama picha hiyo kwa umakini.

paul milya

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
285
93
Ndivyo nilivyomkuta huyo Ndugu leo asubuhi na mapema mtaa wa Sakina huku Arusha mjini post na Sakina Bar kwa juu kidogo tu akidaiwa kuangushwa angani na Wanamaombi wanaokesha kumlilia Mwenyenzi MUNGU usiku katika Kanisa moja mtaa huo.
 

Attachments

  • Photo0804.jpg
    Photo0804.jpg
    41.5 KB · Views: 5,096
  • Photo0802.jpg
    Photo0802.jpg
    36.8 KB · Views: 956
  • Photo0801.jpg
    Photo0801.jpg
    35.8 KB · Views: 840
  • Photo0800.jpg
    Photo0800.jpg
    30.9 KB · Views: 821
HILO NI TANGAZO LA BIASHARA NDG YANGU huwa ni plani za kitoto


Mi siamini usemacho kwani huyu dingi kapigwa na baridi kinyama yani........huwezi niambia ya kwamba ni kwamba hiyo kanisa wako kibiashara. Dingi mwenyewe kwa wale waliomkuta mapema kbs wanadai alikuwa akizungumza kwa tabu ya kwamba ametokea hapo Mkoani Manyara wilaya ya Babati. Na ndiyo ikawa kauli yake ya mwisho na hana hata nguo moja kama picha inavyoonyesha wajamen.
 
Huwezi amini mambo haya siku hizi ndio yanazidi kuongezeka tofauti na amani,siku hizi wasichana wadogo tu wanga kazi kuloga waume za watu mpaka wanasahau ndoa zao.
 
Mambo hayo nilijua ni Kigoma na Tanga kumbe mpaka Arusha!!!


Chalii wangu nakwambia hata Nami sijaamini macho yangu. Ni pale Sakina bar ukiipita kidogo tu kama unatokea town kuna barabara inapinda kulia kabla ile kibao cha 2000Motel na hapo hapo pembeni mwa barabara kuna miti aina ya mijohoro........ndiyo hapo ametia nanga tangu majira ya saa nane ya usiku na hana hata nguo moja ya kujistiria.
Ni majanga chali wangu! Kama upo anga hizo wewe pitia hapo utaambiwa yaliojiri na akawa anapewa nguo na hata hataki kabisa na ndiyo jamaa wa toyo wakaenda kuita police kwa ajili ya usalama wake.
 
Ngojeni washindwe kumpa dau lake ndio mtajua ukweli! Mjini shule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom