Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

Nulilala hapa mwaka huu. Kutamu kweli kuna chumba nilikizoea kwani kipo kimya na ukiwa na mechi basi ni mwendo wa simple harmonic motion mpaka asubuhi. Ila wajitahidi tu kuweka king'amuzi cha maana angalao.
Siku ingine ukija nistue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom