Locked phones

shansarie

JF-Expert Member
May 25, 2013
5,690
3,357
Naomba kuuliza jamani ukiwa na simu imetoka majuu ambayo ni locked hapa bongo kuna sehemu ya ku unlocke? na ni wapi wana unlocke simu.
WMT family mobile CONCORD. Touch screen, 3G, micro SD, wi-fi data with real web browsing, auto rotating screen .android etc
 
Unavyo ona wewe kuna m2 atakae kuelewa?
.
Au unadhan kuna sehemu wana unlock simu aina zote? Taja jina la simu ndipo uelekezwe
.
 
Nimerekebisha asante

haya karibu
.
resize_Walmart2.jpg

.
Ila jamaa nime tafuta specifications, za simu zao sijaziona, mala naona wana link na apple mara Blackbery, na hata picha ya simu unayoisemea sijaiona kabsa nahc hata GSM ARENA hawapo, labda wasubili akina chief-mkwawa / Mwl.RCT nawengneo....
 
Last edited by a moderator:

Asante embu waje haraka
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza jamani ukiwa na simu imetoka majuu ambayo ni locked hapa bongo kuna sehemu ya ku unlocke? na ni wapi wana unlocke simu.
WMT family mobile CONCORD. Touch screen, 3G, micro SD, wi-fi data with real web browsing, auto rotating screen .android etc
Taarifa tatu muhimu ili kufanyia unlocking simu yako ni:-
  1. IMEI
  2. Network locked: Mfano Vodafone, Orange, AT&T , O2 n.k
  3. Nchi husika: Mfano UK, USA nk
Ukiwa na hizi taarifa tatu, wasiliana nami kupitia huu uzi hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...cking-phone-by-imei-number-3.html#post7819313
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom