NAWATAFUNA JF-Expert Member Nov 14, 2019 13,286 24,001 Apr 17, 2020 #2 Shida nini kama wanaona maumivu yanazidi si wachukue maji ya moto wazikande. Sent using Jamii Forums mobile app
Shida nini kama wanaona maumivu yanazidi si wachukue maji ya moto wazikande. Sent using Jamii Forums mobile app
vvm JF-Expert Member Jul 18, 2014 6,280 10,275 Apr 17, 2020 #3 Hahahahha sasa washukuru michepuko iliyokua inabalance equation... Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha sasa washukuru michepuko iliyokua inabalance equation... Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,754 Apr 17, 2020 #4 Huo Mfucko ni wa aina gani hawajauzoea tangu waishi na hao jamaa sao.
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,172 56,757 Apr 17, 2020 #5 😂😂 Huku bongo ndo wasiombee kabisa maana Alkasusu itapanda Bei.
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,011 11,942 Apr 17, 2020 #6 Hapo ndio wawaheshimu michepuko,maana huwa inawasaidia sana
B bato JF-Expert Member Dec 20, 2012 3,834 3,270 Apr 17, 2020 #7 Kuna uzi humu,.kuwa michepuko na machangu wanasaidia kulinda ndoa. Wanaume ni polygamists by nature,
Beeb JF-Expert Member Aug 18, 2018 29,402 58,951 Apr 17, 2020 #8 Doh! Sent using Jamii Forums mobile app
SK2016 JF-Expert Member Apr 6, 2017 7,971 13,662 Apr 18, 2020 #10 Sasa fikiria umo ndani wiki ya 1,2,3 na kuendelea; utawaza nini zaidi ya kula na kupiga shows!!!!! Wavumilie tu, hakuna namna. Maana walio single nao watakuwa na ugwadu balaa! Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa fikiria umo ndani wiki ya 1,2,3 na kuendelea; utawaza nini zaidi ya kula na kupiga shows!!!!! Wavumilie tu, hakuna namna. Maana walio single nao watakuwa na ugwadu balaa! Sent using Jamii Forums mobile app