Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 5,466
- 8,565
Mungu tusamehe sana, naona tunarudia matapishi yetu, inahuzunisha sana
Mungu amejisazia watu maelfu kwa maelfu ambao hatuko tayari kuwa mandondocha. Ubarikiwe mkuu.Naomba nitoe muongozo 1.sitachanjwa 2.barakoa sitavaa kamwe 3.sitajifungia ndan... Hata nikifa kwa korona ni bora kuliko kuwa mtumwa wa mabeberu.
Fafanua hapa kwenye 'kuzaliana Sana'
me nijuavyo kitakwimu Tanzania ina vijana na watoto wengi zaidi kuliko watu wazima na wazee.sasa km vijana ni wengi,vijana haohao wengi wetu hatujaoa na hatukai na wanawake,haya tuambie tunazaliana vipi sasa kukiwa na lock down..labda iseme kutakuwa na ongezeko la upingaji wa punyeto
Yes nimekuelewa sn mkuu .lkn swala la lock down Kwa kweli MUNGU aliepushe mbali..Mimi nitakuwa wa Kwanza kulipinga wakileta hicho kituMkuu hili hili kundi la vijana ukiliwekea kizuizi cha kukaa ndani litaifanya shughuli ya kugegedana kwa kiwango cha juu.
Fikiria wanafunzi wa sekondari, wa vyuo na bado ma graduate kibao uwaambie sasa ni kukaa magetoni/nyumbani tu.
Kenya wamepata hili tatizo watoto wamefanyiwa sana ukatili wa kingono.
Kwenye kuzaliana Mkuu kuzaliana hata binti wa miaka 16 anaweza kubeba mimba si lazima awe kaolewa
Utakula nini wewe jamaa huku umefungiwa ndani?Mapendekezo tu haya wakuu, ila kwa lock down tutazaliana sana tena sanaa
FactTangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.
Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.
Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.
Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.
Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.
Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?
Na Chadema nao wanashangilia?
asante sana nduguMungu amejisazia watu maelfu kwa maelfu ambao hatuko tayari kuwa mandondocha. Ubarikiwe mkuu.
Utakula nini wewe jamaa huku umefungiwa ndani?
Yes nimekuelewa sn mkuu .lkn swala la lock down Kwa kweli MUNGU aliepushe mbali..Mimi nitakuwa wa Kwanza kulipinga wakileta hicho kitu
Tatizo ni rushwa iliyotolewa na madalali wa chanjo, 10% ndio imewaroga, hiyo tume unaweza hisi ilijaa mataahiraTangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.
Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.
Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.
Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.
Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.
Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?
Na Chadema nao wanashangilia?
Hizi ndiyo ripoti Tundu Lissu anaziita Professorial RubbishMsibadilishe Report ya kitaalam kwa sababu zenu za kipuuzi za kisiasa!
Tatizo mkuu hauelewi hayo yote unayojiapiza kutoyafanya, yanafanyika fanyikaje!Naomba nitoe muongozo 1.sitachanjwa 2.barakoa sitavaa kamwe 3.sitajifungia ndan... Hata nikifa kwa korona ni bora kuliko kuwa mtumwa wa mabeberu.