LOooh, labda yapo mengine kati yenu wawili tusiyoyajua, kiasi cha kumpa kavu hiyo uliompa katika mstari wako wa kwanza!
Joka Kuu, ni mkongwe hapa JF, na anajulikana kwa michango yake humu JF; lakini 'Uhuru na Umoja' (jina zuri sana hili, ndio mara yangu ya mwanzo kumsoma hapa JF.
Na hata ukichukulia andiko hilo ulilomparamia nalo, hilo jibu ulilotoa halikidhi kabisa hoja alizotoa Joka Kuu.
Nadhani inafaa umwombe radhi.
Tahadhari: mimi sinunui ugomvi, lakini ukileta za kuleta sikuachi. That's my promise.
..Mkuu nakushukuru sana.
..lugha aliyotumia Uhuru n Umoja , pamoja na kwamba haifai, lakini mimi hainipi shida.
..sitaki kutoka nje ya hoja, au kuharibu mjadala ulioko mezani, nitaendelea kujadiliana naye kiustaarabu.