Lockdown Kenya-Uhuru Kenya afunga Vyuo na Shule huku akifunga njia za wanafunzi kurejea makwao

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,760
2,000
Kwa hiyo wapite angani?? Kama anawafungia njia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahaha, angani pia asitumie ndege, labda watumie magical infinity stones kama Thanos
ila ajabu safari za Kimataifa hazijaguswa yaani wazungu na wachina na wahindi waendelee kuja na kutoka Kenya kama wanavyojiskia..
Covid-19 Madness
 

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,760
2,000
Jombaa, acha kujiaibisha kuna exemptions k.m. kwa wahudumu wa afya, polisi, trucks za long distance n.k, sasa itakuwaje wanafunzi wakatazwe kuenda makwao wakati tayari shule zimefungwa? Upo excited kuhusu nini haswa? Naona hamjajifunza hata baada ya msiba wenu wa hivi majuzi ambao ulisababishwa na hivi hivi virusi vya COVID-19. Ukimaliza kuwabeza wakenya nenda ukapige nyungu, wadosi wako wapo safarini wakifata ventilator nchini Kenya.
Haki wewe ni miongoni mwa wakenya wengi walio wapumbavu kupindukia, but I am not surprised if you can believe cerfews stops the spread of Corona Virus. soma comments za ndugu zako kwenye hiyo video
 

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,760
2,000
mtu yeyote ambae atakua affected na cessation of movement ataenda kwa relevant authorities na kupata barua au kibali cha kuonyesha kwamba yeye anafaa kutoka point A hadi B kwa madhumuni flani na itaeleweka tu. maisha lazma yaendelee, haimaanishi kuwa watu sasa wamefungiwa kwenye zizi na kubanwa kufuli so hakuna kuingia wala kutoka.
serikali inajaribu tu kuzuia unnecessary movement.
Labda awamu hii polisi wenu wataacha kukamata watu na kuwakusanya pamoja kwa makundi ili kuwauzia wasikusanyike yaani na kupunguza maambukizi ya Covid-19
 

Lewis254

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
5,852
2,000
ndiye kiongozi kweli,huyo wenu anatoa kafara nyani yeye hapana.
mwenzenu alijifanya Starring eti Starring hawezi kuenda na maji, kumbe loh! nina uhakika iwapo angeshinda vita ile basi angejiita mungu kabisa.
subiri na wewe pia yakukute pengine unaweza au usiweze kuja kuleta ushuhuda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom