Lock haitoki

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Nimeenda kanisani nimesahau neno la leo.
Yaani loku imeng'ang'ania kabisa dah! Sijui pombe za boogaloo wanachanganya na nini.
 
usiwe unaenda huko.....wale wanauza pombe za aina ya wanafunzi wa uhasibu......anko umekuwaje bana.....ina maana ulisahau sehemu ya kuja......?
 
Pale central wanaweza kukusaidia hili tatizo lako tena bure!
Nimeenda kanisani nimesahau neno la leo.
Yaani loku imeng'ang'ania kabisa dah! Sijui pombe za boogaloo wanachanganya na nini.
 
Pole sana Mkuu! Usirudie tena kunywa bia za kutongozea mademu wa uhasibu.
 
usiwe unaenda huko.....wale wanauza pombe za aina ya wanafunzi wa uhasibu......anko umekuwaje bana.....ina maana ulisahau sehemu ya kuja......?

uncle we si ulikataa kunielekeza sky?
Ngoja nitafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom