Loans allocation for applicants of 2011/12 has been broken down.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakuu,wale wote mlokua na mikopo ktk yale majina ya mwanzo bac frm nw jìhesabuni hamna mkopo,zoezi linarudiwa upya.source,mtu wa karibu na bodi ya mikopo.
 
hamna kitu kama hicho...nilikua nasikiliza JAHAZI alikua anahojiwa mmoja wao hajagusia jambo kama hilo,au shapata one 4the road??
 
Hata kama sio kweli ila umenipa faraja sana mkuu. Tusubiri tuone mwisho wake maana imekua kama muvi ya kihindi mwisho wake hautabiriki.
 
Nadhani umekosea kuiwasilisha hii mada hapa kwenye jukwaa la elimu,ipeleke kwenye jukwaa la utani

Nipo pamoja nawewe mkuu kakurupuka dogo! Ndo tatizo la vigodoro hilo then una wake up saa7 mchana then unackliza habari Lol!
 
Wakuu,wale wote mlokua na mikopo ktk yale majina ya mwanzo bac frm nw jìhesabuni hamna mkopo,zoezi linarudiwa upya.source,mtu wa karibu na bodi ya mikopo.

Kijana ucwape kaka zako stress au ndo nyinyi mnaetafsiri neno moja moja Broken kuvunjwa Down Chini Hio lugha ya watu kisoda wee! Source m2wakaribu au CCBRT ndo source yako mana ndo ipo karibu na board!
 
Back
Top Bottom