Loan Request

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,741
5,226
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi cha laki 3 nina shida ya dharura naomba anisaidie. Napatikana arusha.
Asante
 
Kama ulipenda iwe ngumu basi nashukuru.
We acha kujitia huruma isio na tija bana, hivi hata kama ni wewe mtu humjui hata kwa sura anaomba umkope kirahisi tu hivi utampa? Usawa wenyewe huu?
Kuna watu wana hizo kazi za kukopesha atleast details zako na dhamana uliyonayo ili upate mkopo ila sio kihivi
 
Aise basi mimi ni wa ajabu na kwanza kutoa thread ya kuomba mkopo humu na ni mimi peke yangu
wengine waliokua wanaomba walikua wana upekee
Dah... Mbona kuna taasisi nyingi tu zinazoshughulika na mikopo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom