Loan officer IFM ni jipu

Rubajirwa

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
473
228
Chuo cha IFM kuna wanafunzi ambao ni wanufaika wa mkopo hawajafanya registration mpaka leo, kila tukifwatilia loan officer anasema majina yanashughulikiwa ni mwezi umepita sasa....
WAHUSIKA TUNAOMBA WALISHUHULKIE HILI SWALA WANAFUNZI WANATESEKA.
 
Fuata ngazi za chuo kutatua tatizó. Chuo chenu kipo ikulu bado una bwata hivi. Je kingekuwa Bukoba je? Si ungeanzisha Thread BBC ili Dunia nzima ijue
 
huyu dogo aache utoto huyo loan officer namfaham wala hyupo hivyo....nlipiga kitabu hapo wakat namba z wanafunzi mfano mtu wa banking ilisomeka imc/bbf/10/754...,kuchelewa kwa kitu kusikufanye utake kumuhalibia mtu sifa na kazi yake
 
Mkuu we ni mnufaika wa uzembe wake kazini?? Unamtetea mtu ambae hayuko responsible kwa kazi yake, pia unamfahamu kwa mambo mengine sio utendaji wa kazi.
 
Mkuu we ni mnufaika wa uzembe wake kazini?? Unamtetea mtu ambae hayuko responsible kwa kazi yake, pia unamfahamu kwa mambo mengine sio utendaji wa kazi.
acheni kuhukumu watu mapema na kuwapa majina ya ajabu,kama unayosema ni ya ukweli basi weka jina lako kamili hapa na legislation number yako,then tutajua unapataje msaada HESELB ila kama unadanganya utawajibika pia...
 
Namba yako inaonyesha ulianza 2010 kwa maana yake ulishamaliza miaka kadhaa iliyopita mambo hayako ulivyoyaacha pengine huyo unaemfahamu alishahama
 
Back
Top Bottom