Lepapalongo
Member
- Jan 28, 2009
- 92
- 11
Ingia website ya bodi kuna loan breakdown kwa tatol amount uliyopewa b4.Ni mchanganuo mzima wa hiyo pesa.
mbona siwaelewi wanamaanisha mikopo mipya kwa waliokua wamekosa ama?
Mbona siwaelewi wanamaanisha mikopo mipya kwa waliokua wamekosa ama?
<br />Jaman naomba mnicheki CHRISTOPHER NTANDU (ARDHI.burchelor of arts in economics)kwa nin nimekosa mkopo.MSAADA NIPO SEHEM MBAYA NO INTERNET CAFE

<br />Nimecheki jina la mdogo wangu na wenzie kadhaa wa Microbiology waliokosa mkopo waliochaguliwa udsm sijawaona nimeangalia vifungu vyote mwanzo mwisho sijaona majina yao.hii inanipa faraja kwamba kuna listi nyingine itatoka hivi karibuni.,nadhani itajumuishwa na wale watu elfu nne wa second round application sababu haitawezekana watu elfu nne wote wakose mkopo itakua balaa...fedha ipo,,,let's wait two weeks walizopewa bodi kuhakikisha wote waliokosa wakati wana vigezo....nimefarijika kidogo