Loan Board [Heslb] waja kivingine.......Wataalam tusaidiena sababu bado hawasomeki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loan Board [Heslb] waja kivingine.......Wataalam tusaidiena sababu bado hawasomeki.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mzalendo wa TZ, Sep 21, 2012.

 1. M

  Mzalendo wa TZ Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndug wanajukwaa poleni sana kwa shughuli na kukosa mikopo kwa baadhi ya wanachuo watarajiwa.Leo majira ya saa 12.06 jioni website ya bodi ya mikopo imeanza kufunguka na wameomba radhi kwa matatizo yaliyojitokeza na kuonesha njia mpya ya kuona Mkopo uliopata na mchanganuo wake.Maajabu na kitu cha kushangaza ni kwamba wanakuelekeza jinsi ya kuona huo mkopo,
  1.Click view results,kisha itakuletea yafuatayo
  a].Ingiza key word [Ni moja kati ya uafuatayo;Index number,First name,middle name or surname]
  b].Ingiza security code kama walivyokuwekea kwa mbele.

  Kitu cha ajabu ni kwamba hawajaka maelekezo ni index number ipi inayotakiwa kutumika kati ya ile ya kidato cha nne na cha sita?Majina yanafanana je,watayatofautisha namna gani?Lakini cha ajabu zaidi ukifuata maelezo hayo bado account zetu za loan board hazifunguki.

  Wataalam tunaomba mtusaidie kwa hili kama sisi ndo tuna uelewa mdogo wa au ni tatizo linalotusumbua wote?
   
 2. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jaribu kutumia moja kati ya majina yako pia inafunguka. Mi nimejaribu kwa majina kadhaa na imekubali vyema.
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  weka jina lako moja either la baba or la kwako itakuja list ya majina ya wale wote wenye jina kama hilo walio pata mkopo na maelezo ya ziada.
  inaonesha haukujaribu umekimbilia jf kuuliza kwanza, jaribu na utajionea mwenyewe
   
 4. M

  Mzalendo wa TZ Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thenks kaka nimefanikiwa kuyafungua lkn nimekosa kumbe ilikuwa inakataa 7bu jina langu halimo.Nitahitaji msaada na ushauri zaid wa kimawazo toka kwa wanajukwaa wenzangu katika kipindi hiki kigumu cha huzuni na simanzi kwani nahisi km nimetupwa katika giza nene kiasi kwamba sioni popota.Ndoto zangu zimezimika ghafla.

  ALL THE BEST.
   
 5. Siraj

  Siraj Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inakubali mbona kama index ni ya olevel na jina ni vyema ukatumia ubini ili uwah kuona kwasababu majina ya mwanzo meng yebo yebo
   
 6. Siraj

  Siraj Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daa pole sana aisee try 2find financial assistance kwa watu wenye uwezo kama wazaz au walez hawana uwezo maana no way out ishatokea
   
 7. M

  Mzalendo wa TZ Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kaka ilikuwa haifungui sababu nimekosa mkopo,nilijaribu majina mengine yakawa yanafunguka
   
 8. M

  Mzalendo wa TZ Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitajaribu kukata rufaa,ikishindikana nitajaribu next year,cz wazazi wenye uwezo wa kugharamia elimu ya juu ni wachache sana na waziazi wangu hawamo kati ya hao.
   
 9. d

  d.bale Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  habari naomba msaada kupata majina ya wliokosa mikopo 2012
   
Loading...