Loan Allocations for SUA First Year Students in Academic year 2016/2017

Daaah nimekosa hata nikiangalia profile wananiambia not secured loan
O - level na A- level ulisoma SHULE za serikali au private? Tatizo ni kwamba ukisoma private bodi wanachukulia kuwa wazazi wana uwezo!
Lakini ukweli ni kwamba si kila aliyesoma private wazazi wana uwezo ila ni kwamba wana mwamko wa elimu. Nawafahamu wazazi ambao baba ni dreva na mshahara wake ni 250,000/= na mama ni secretary na mshahara wake ni 300,000/=. Walisomesha mtoto wao shule ambayo ada ni 1,500,000/= . Walikuwa ni wakopaji was kwenye vikoba na biashara ndogo ndogo kama kuuza maandazi, mboga mboga nk. Kipato chao chote walikielekeza kusomesha mtoto na wana madeni kila kona. Sasa ukisema kama waliweza kusomesha mtoto private maana yake wana uwezo utakuwa hujawatendea haki! Ila waliamua kumnusuru mtoto wao na shule za kata za vijijini kusikokuwa na walimu wa kutosha, hakuna maktaba wala maabara!
Sasa wazazi kama wale watawezaje kumlipia MTOTO wao gharama za chuo zinazofikia 4m kwa mwaka?
 
S

Olevel kaliua secondary Advanced level Pugu secondary sasasijui nifanyeje
 
..oi hivi kwa walio soma private o level afuu serikali a level vipi hawa wana salimika kweli?????
 
Ukisoma private school tu, bodi wanakuchukulia kuwa wazazi wana uwezo wa kukusomesha, japo hiyo siyo kweli.
Ndiyo maana unaweza kukuta watoto toka familia moja mmoja anaambiwa wazazi wako wanaweza kukusomesha Kama alisoma private na mwingine akapewa mkopo kwa vile Alisoma shule za serikàli. japo wazazi no walewale!
 
Back
Top Bottom