mi mwenyewe nilimpm lakini hamna majibu.hii hali inanishtua sana.hakua hivi.
Mkuu umejaribu kupitia kwenye blog yake kama isemavyo hapo juu.., sometimes mambo yanakuwa mengi na mtu unatingwa na kupotea si unajua tena mkuu !!!
Duh! Jina lako kiboko lakini mende akiwa jeuri tunakanyaga tu lol!huyu mtu hakuwa hivi, yaani apotee mwezi mzima?? kuna kitu lazima si bule
Wakubwa samahanini sana nauliza tu huyu mtu Lizzy yuko wapi siku hizi? Alikuwa ananibariki sana na uwepo wake humu na sijamuona kitambo kidogo. Mwenye data anijuze maana huenda mwenzetu ame "ngo" tayari sisi tunacheka tu. Uta "ngo" na wewe
yuko marangu
huyu mtu ata AshaDii kamuulizia leo asubuhi anatafuta hela ya bundle..
Lolzzz...kaaazi kweli kweli!!mi mwenyewe nilimpm lakini hamna majibu.hii hali inanishtua sana.hakua hivi.
Na kweli si bure....huyu mtu hakuwa hivi, yaani apotee mwezi mzima?? kuna kitu lazima si bule
lizzy kweli upo wapi?salimia itabidi nikudondoshee namba zangu next time unipigie kabisa!!
Machame bana....
Hahahaha...nilikua nimepigwa ban kwenye cafe niliyozoea na kwingine kote hawakopeshi!
Lolzzz...kaaazi kweli kweli!!
Na kweli si bure....
Salimia itabidi nikudondoshee namba zangu next time unipigie kabisa!!
Machame bana....
Hahahaha...nilikua nimepigwa ban kwenye cafe niliyozoea na kwingine kote hawakopeshi!
Lolzzz...kaaazi kweli kweli!!
Na kweli si bure....