Liyumba (wa BoT) na wenzake kizimbani Kisutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Liyumba (wa BoT) na wenzake kizimbani Kisutu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Jan 27, 2009.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2009
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa kwamba Liumba wa BoT atapanda kizimbani Kisutu muda si mrefu, anapelekwa na Takukuru, inawezekana ni ile kesi ya kikiuka taratibu za ajira kwani ndiye aliyeajiri watoto wa vigogo
   
 2. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tayari wako wawili wameshafikishwa eneo la viwanja vya mahakama ya Kisutu wakiwa katika gari la Takukuru wanasubiri kuingizwa ndani ya mahakama muda mchache ujao. Aliwahi kuhojiwa na Takukuru muda mrefu kuhusiana na mambo ya ajira zisizofuata taratibu
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hii hatua ya kumfikisha huyu Bwana mahakamani ingeenda sambamba na kusimamishwa kazi kwa watoto wote wa vigogo walioajiriwa bila kufuata taratibu na wala sio wale waliopelekwa mahakamani some few months ago. Kuna ukweli ulio wazi kwamba watoto wengi wa vigogo waliajiriwa kwa kwenda na vimemo tu. Ningeshauri ifanyike Human Resources Audit (ifanywe na independent firm) ya nguvu pale BOT ili kuona kama kweli taratibu zilifuatwa wakati watoto hao wa vigogo wanaajiriwa. Nina uhakika hawa hawakutoa rushwa hata kidogo hivyo suala la kuajiriwa kwao halipashwi kuhusishwa na rushwa.
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Jamani hao watoto wa vigogo hawakutoa rushwa. Vilitumika vimemo na simu. Sasa je vinaweza kutumiwa kama ushahidi???? Sasa TAKUKURU wanamshtaki kwa kosa lipi la rushwa???? Mwishowe itaonekana hakuna ushahidi na kesi itafutwa, then ataanza kudai fidia!!!! Mambo ya mahakama yameshakuwa ni fashion tu sasa. Kila kitu mahakamani!!!???

  Pengine kutakuwa na issue nyingine zaidi ya zile ajira za upendeleo. Tusubiri charge zitakazosomwa dhidhi yake. Asante mwanahabari wetu kwa kutuhabarisha hili tena.
   
 5. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Safiiii safi sana...ila tu isiwe kiini macho
   
 6. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkulu Halisi
  I do salute you.
  Unanikumbusha kipindi kile jamaa wa CNN walikuwa na reporter mmoja PETER ANNET anaripoti habari "wakati uleule inatokea".
   
 7. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  What about matumizi mabaya ya madaraka.
   
 8. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkulu haya mambo ni seriuos.WATU WAMEAGA FAMILIA ZAO KWAMBA WANAENDA KAZINI.
  Na YES,WAPO KAZINI.NAWAONA HAKUNA ANAYESOMA GAZETI.
   
 9. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakati mwingine kuwasimamisha wakati wana qualify kwa hiyo kazi si rahisi. Wale wa mwanzo suala lao lilikuwa rahisi, walikuwa wamedanganya elimu zao na kuwa na vyeti bandia. Kimemo chaweza kuwa rushwa, mtoo wa mkulima ama mfugaji kijijini akiandika kimemo mwanae ataajiriwa?, rushwa si lazima iwe fedha, zawadi nk. Bali kitu kitakachoangaliwa ni kujua kuwa kulikuwa na mazingira ya uvunjaji sheria (rushwa) wakati wa process nzima za kuajiriwa hao watoto wote wa vigogo kwa mpigo. Mfano wapi walitangaza hizo kazi?, wangapi waliapply?, usaili ulifanyika vipi na wapi?, nani walioongoza huo usaili?, na vipi elimu ya wahusika nk. Kuanzia hapo hata kama ilikuwa ni vimemo itajulikana kulikuwa na mazingira ya rushwa.
   
 10. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ukisha kuajiriwa kufukuzwa eti kwa sababu utaratibu wa ajira haukufuatwa sio sahihi.

  Mpaka hapa TAKUKURU wako sawa, anayetakiwa kujibu tuhuma ni huyo Liumba aliyesaini barua za ajira na sio hao walio ajiriwa.

  Nadhani, kosa la kutumia madaraka vibaya ndilo atakalobebeshwa nalo Liumba na wenzake.
   
 11. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Rushwa si lazima utoe pesa pia ni kutumia ofisi au mamlaka kwa manufaa binafsi. Kwa hiyo kama vimemo na ushaidi wa simu utapatikana utakuwa ni ushahidi mzuri sana wa kuwatia hatiani hawa jamaa.
   
 12. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Haya , ila wasiwasi wangu ni je? hizi kesi zitafikia mwisho?

  Hivi kwani ni lazima kesi zote za kifisadi ziende mahakama ya Kisutu? kwani watakuwa na kesi nyingi sana kiasi kwamba zitakuwa haziishi mpaka ukamilifu wa dahari.
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Jan 27, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mkuu YY,

  Jamaa (Liyumba na Deogratias Kweka) wanapandishwa kizimbani dhidi ya kashfa ya Twin Tower.

  Nipo hapahapa Kisutu, nitawafahamisha kinachoendelea
   
 14. C

  Chuma JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  na walioandika Vimemo na kupiga simu nao si wapo? basi nao wafikishwe mahakamani...
  Tusidharau utawala wa sheria japo wengine tunaona Mahakamani tunapoteza muda..lkn kwakuwa hatuna alternative yake inabidi tuikubalia...otherwise tukiamua kujichukulia hatua mikononi....itakuwaje? au mtu akituhumiwa tu basi tu afungwe itakuwa chaos!!!
   
 15. H

  Heri JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Liyumba alikuwa anamanage Directorate yenye the largest budget BOT. Estates i.e construction ya aina yeyote BOT ilikuwa chini yake. Legal service nayo ilikuwa kwake.Commission aliyokuwa anapata ilikuwa nzuri tu. Twin tower, Legal fees etc.
   
 16. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  All this tells me the link btn kutoweka kwa Balali na sinema tunazoonyeshwa sasa hivi!!!!! Kazi ipo........
   
 17. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #17
  Jan 27, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unachosema ni kweli vimemo ndio vilitembea
   
 18. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu zifike mwisho ama zisifike wapo Kisutu, walizoea wanafanya wafanyavyo, walidhani wafikao Kisutu ni wale wanaosingiziwa kuiba Kuku tu. Kutakuwa kiasi fulani kuna heshima mtu akipewa majukumu. Vile vile kumbuka mwisho wa kesi unaweza kuwa mwanzo wa kesi nyingine, mtu akihukumiwa ikaonekana kuwa hukumu haikuwa ya haki, jamii (wapigania haki) wanaweza kukataa rufaa manake wana pa kuanzia. Vile vile kesi hushusha heshima, hata ukishinda, waache nao wajue mahakama ni nini.
   
 19. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #19
  Jan 27, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya firauni!!! Mbona Rais mstaafu wamemwacha kwenye hili la Twin Towers?
   
 20. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280

  Mkuu Yebo Yebo, hii kauli yako haijatulia. Inabidi ufanye research zaidi. Huoni kwamba watu walikiuka maadali yao ya kazi?

  Mfano mdogo: Unafikiri kwa nini watu wananyang`anywa degree zao ikigundulika kwamba waliingia kwa kuforge vyeti au kwa udanganyifu? hata kama wana first class? Bado degree zao zinakuwa withdrawn... Tukienda na theory zako..ingebidi walioingia kwa kuforge..basi waachwe tuu, maana shule wameifaulu vyema kabisa.

  My argument is: From the beggining ni kwamba wote walifanya udanganyifu. Kwa hiyo wawajibishwe ipasavyo.

  Masanja,
   
Loading...