Liyumba vs Rostam nani mchapa kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Liyumba vs Rostam nani mchapa kazi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Semilong, Mar 11, 2009.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Liyumba na Kweka kazi zao tumeona leo Benki Kuu ukumbi na majengo ni mazuri sio second hand na hajalipuliwa. Ukumbi wa mikutano mzuri.

  Swali inakuaje HR Manager na Project Manager wapitishe matumzi ya hela nyingi bila board of directors (huu ni uongo). Inamaanisha wao wamechukua hizo hela bila Finance Director (siamini). Kama hawakula hela mbona walikaa kimya siku zote hizo.

  Liyumba ka-share hela dada kibao pale wa mjini ana roho nzuri hakula peke yake.

  Rostam kila kitu ni cha hali ya chini, majenerator si chochote...

  Mwisho Liyumba ndani, Rostam nje, halafu magazeti yake na ya serikali yanamfanya Liyumba mtuhumiwa mkuu ili wengine wasahaulike.

  Watuhumiwa wote wamepewa dhamana kasoro hawa wawili na hawajala peke yao
   
  Last edited: Mar 11, 2009
 2. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kweli ukumbi unalipa, uongo mbaya!
   
 3. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hata twin tower zimeenda shule japo kaufisadi kalitumika
   
 4. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umesahau kwamba uchaguzi ni mwakani?. Hii yote danganya toto alale ili wakubwa wafanye vitu vyao. Liumba na Kweka wametolewa kafara ili mbele ya wadanganyika ionekane kwamba kweli mafisadi wanashughulikiwa, lakini ukweli ni kwamba Liumba na Kweka ni dagaa wadogo sana katika bahari ya mafisadi, papa na nyangumi hawajaguswa na hawataguswa.
   
 5. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi kama wametolewa kafara kule mahakamani kwanini wasimwage yooooote wayajuayo?
   
 6. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Hata akimwaga ukweli nani atamsilikiza?. Na hata akisikilzwa nini kitafanywa kwa wahusika?.

  Nani asiyejua kwamba Mkapa, Yona, Mramba, Rostam, Chenge, Iddris Rashidi na Mgonja ni Mafisadi yaliyo komaa?. Je unajua kwanini mpaka leo yako huru?
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kuchapa kazi kupo kwa namna nyingi. Huwezi kuniambia eti Twin Tower inatakata kwa sabau ya Liyumba sijui lijumba au kwa sababu ya mtu yeyote. Kimsingi ile NI KODI YETU SISI WALALAHOI, na mtu asijifie kwa lolote.

  Kama mtu anaweza kusimamisha Twin Tower nyingine, afanye hivyo kwa kutumia pesa yake, nasi hakika tutamsifia.
   
 8. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kitu kimeonekana kimefanyika ingawa kaiba. Rostam na kundi lake wamefanya nini zaidi ya kuiba?
   
Loading...