Liyumba Huru!

Wana Jf, nimesikia habari toka kwa baadhi ya watu kuwa eti leo majira ya saa 3:30 asubuhi, yule jamaa A. Liyumba amekua huru ktk kifungo alichokua anatumikia. Je ni kweli yu huru?
 
Hivi alikua na kifungo cha miaka mi3 au mingapi?kama ndo hivyo wamemwesabia kwa masaa. Hii inaitwa Tanzanha bana ya kwanza duniani kukumbatia maovu
 
Ile simu aligundulika anayo baada ya kumpigia mkuu pale magogoni....naona kuna neno zito alimwambia...labda nimekuvumilia sana fanya maamuzi magumu kwa manufaa yetu sote...kitaa wananimiss kwa ajiri yako.
wataalam wa sheria naomba mtuambie uyu jamaa alikuwa na kesi gani
 
[QUOTE=Ng'wanangwa;
mi si mtaalamu wa sheria ila moja ya kesi zake ni pamoja na matumizi mabaya ya ofisi yaliolingiza taifa hasara ya mamilioni ktk ujenzi wa majengo pacha ya BoT
 
hatimaye liumba ameachiwa huru leo!

update:
kuhusu rushwa, kuna watu wanne ambao wanasadikika kuwa usalama wa taifa ambao walitutafuta na kutaka kuhadaa na maswala ya kufanya biashara ya pamoja. Walikuwa tayari kutupa $3,000,000 lakini tukakataa. Haya ni mapambano makubwa kuliko milioni 3. Ni mapambano ya watoto wetu na wajukuu wetu. Tuliwapa maagizo kwamba wakatuansihie biashara ya kuwapa polisi mishaara mizuri kupunguza rushwa, na pia kuwalipa walimu na kuboresha shule zetu za misingi ambako watoto wanakaa chini ya miembe. Hapo tutafanya biashara pamoja. Hapo ni hadi siku 3 zilizopita. Mwisho tuliwaambie wapeleke proposal ya biashara f.b.i tutaichukulia huko kisha warudi kuielezea umma wa kitanzania kwamba hizo hela zimetoka wapi.

kuhusu maandamano wazalendo, wote wameshafika washington dc. Baada ya kusafiri usiku kucha. Tupo sehemu tatu tofauti na shuguli itakapoanza mtataarifiwa. Ilatagu jana hatujaona dalili za vasco-dagama kuja hapa . Ifahamike kwamba hatuondoki dc hadi tarehe 25. Kuna wapiganaji watakaokuwepo ndani ya ukumbi. Mara akifika tu, tutataarifiwa na sote tunamvizia kila kona na mabango. Kuna vyombo vya habari vya nyumbani na vya kimarekani ambavyo vipo tayari kutupa coverage akija.... Kwa hiyo kaendi mkao wa kula movie ya vasco-dagama inakuja..

Hatuna tatizo na dicota. Vasco dagama asipofika, kamwe hatutawavuruga...tutawaacha wale nyama choma zao. Wala hatutafika eneo la tukio. Hatujapeleka maandamano ny kuipa un session heshima yake.........mwisho, kuna wengine wanadai sisi ni wanachadema. Hapana sisi ni watanzania. Waandaaji wakuu ni "u.v.c.c.m" na chadema hawana mkono wala hawajui kinachoendelea hapa. Kikwete asitafute mchawi kwenye kila kitu. Mchawi ni yeye mwenyewe na ufisadi wake

 
Back
Top Bottom