liyumba ambadilikia kikwete

mkalagale

Member
Sep 25, 2011
71
8
ni baada ya kutumia cim ikiwa jela kumwambia kwamba japo kuwa alimtosa akamwacha afungwe miaka 2 lakin hatimaye anatoka .source.udaku
 
Mi naona kama hakumtosa inawezekana kabisa alimbeba, kwani kosa alilofanya na adhabu aliyopewa vinalingana? ungekuwa ni wewe pengine kesi ingebadilika na ungeitwa mhujumu uchumi na adhabu yake pengine ikawa miaka 20 jela. hata hivyo mfungwa kukutwa na cm gerezani ni kesi nyingine, kwani umesikia kesi hiyo ikisikilizwa mahakamni? huu ni usanii mtupu!!!!!
 
wanadai wamekosa ushahidi
 
Anaweza kumrudisha BOT akimaliza kifungo na itakua jambo la kawaida kwa serikali ya jk na chama chake ccm
 
Mi naona ni vema arudi maana tangu atoke BoT imeanza kupwaya kwa kutoa ata noti bandia! Bora arudi akadhibiti ujinga huo.
 
Vipi Papa Liyumba Atarudi BOT.

Hivi alikuwa bado yupo BOT? Si nasikia alikuwa amemamliza muda wa kuitumikia Bank. Hata hivyo ukishafungwa huwezi kurudi labda utakaswe na mahakama ya juu kama alivyofanya Rage.
 
Back
Top Bottom