utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Leo bungeni mheshimiwa Livingstone Lusinde ametoa kauli ya kulishauri bunge bunge ili 2020 uchaguzi ufanyike kwa wabunge na madiwani halafu kwa Urais aendelee tu ili kuokoa gharama
My take; ukiona pana fuka moshi kuna ishara hajakurupuka tu huyu mana ni mtu mzima anajielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
My take; ukiona pana fuka moshi kuna ishara hajakurupuka tu huyu mana ni mtu mzima anajielewa
Sent using Jamii Forums mobile app