Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,103
Ok! Umeshapost! Sasa Jitie Dole ulinuke
Tatizo sisi shabiki wa Liverpool safari hii tuna hasira sana na ubingwa wa ligi kuu Uingereza.Wazee mbona mnatoa mapovu mazito hivi..Hamuoni huo ni utani, na hiyo video niliyoambatanisha? Acheni ushamba
Poleni sana, ila ndio hivyoTatizo sisi shabiki wa Liverpool safari hii tuna hasira sana na ubingwa wa ligi kuu Uingereza.
Mkuu acha tu,
Sio dini tu. Ni dini na ajira kwa wazee wa kibetiKuleta Utani Kwenye Soka Mda Mwingine Ni Sawa Na Kuitania Dini Ya Watu Fulani
Kuna babu mwaka 1990 alishasema liva hawabebi tena ubingwa wa EPL.huyu jamaa aliona mbali sana licha ya kuwa bado haijawa dhahiri kufutwa kwa msimu2019/2020
Sent using Jamii Forums mobile app