Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 36,517
- 76,520
Yes alimpasia ,cjui aliteleza ,Demba ba akaupitia
demba ba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
demba ba
anachotakiwa sio kufocus kwenye pl wala nini anachopaswa ni kufokasi ushindi wa leo ili afuzu kumbuka kule kuna man cit ambae wanakimbizana so na hujuma za hapa na pale anaweza asitwe plMe naona bora liver asikomalie hii match ili asifuzu mtoano nguvu akawekeze ligi kuu. Anaweza chukua.
Nadhani napoli ana point 9 goal d +3
Yeye point 6 goal d -1
So lazima ashinde kwa tofauti ya goal 3 na kuendelea.
Nb: psg ni ngumu kumshusha lazima atashinda.
Mimi shabiki wa chelsea. Lakini naona kabisa liver akitulia bila kuwa na mochuano mingine migumu epl anaweza beba kabisa.anachotakiwa sio kufocus kwenye pl wala nini anachopaswa ni kufokasi ushindi wa leo ili afuzu kumbuka kule kuna man cit ambae wanakimbizana so na hujuma za hapa na pale anaweza asitwe pl
alicho fanywa koulibay mungu ana muona mo sarahSalah kafanya yake huku
Psg na LiverpoolNani kapita kwenye kundi la liverpool
Nadhani ulimuona Billy Shankly ndani ya Jugen KloopNaomba ukiwa unatizama game uwe na panadol pembeni mkuu lkn nina imani na falsafa za klopp kama shaqiri ataanzia bench then aje amalize second half Liverpool watafanikiwa sana, mo salah ni mzuri akiwa anatokea kulia hapa kati asimame bobby firmino kule kushoto asimame Money