Liverpool vs Manchester United. Nani kupoteza uongozi

Mkwekwe_mchanja

Senior Member
Oct 16, 2020
153
169
Ni game ngumu ambayo itakuwa na ufundi na ujuzi wa hali ya juu. ila naona kabisa Man U wakija na lengo la kuzuia zaidi na kushambulia kwa njia ya counter attack.

Liverpool kama kawaida yake akiwa ndani ya anfield ni kuprocess mpira vilivyo na kufanya pressing ya nguvu pindi mpira unapokwa kwa mpinzani.

Thiago, Henderson na jones wanakuwa tough sana wanapokutana na game za namna hii. Uwepo wa Bruno, Fred na Pogba kwa man U utawafanya wapige counter attack ambazo uenda almost 60% itawafikia forward zao. Cavani on top form akiwepo kutakuwa na bato ya aina yake na fabinho.

Mo salah,Mane na Firmino naona kabisa wanaenda kuamua hii game ya leo.

1610891525643.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom