AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,284
- 4,019
Hakuna cha kujadili tushapiga 3 wakalale next game wakauane na Chelsea huko
Ongea tenaLiver anakufa 3-1.
Vice versaLiver anakufa 3-1.
Hahaa gemu ilikua ya kibabe, Bravo kadhalilishwa bora angedaka Kyle Walker wangekua na kisingizio.Asante Shehe Yahaya