Liverpool tumerogwa AU ndio gemü inavyokuwa

Yieen

Senior Member
May 8, 2012
103
27
Ndg zangu, inaniuma na ninaamia sana kuiona Liverpool ikiwa katika hali hii, mwanzo niliona ni mapito tu, kwani wachezaji wengi pia walikuwa ni wapya sasa nashangaa, kila siku tunafungwa Kama watoto wadogo,,ivi tatizo nini asee... Hadi man united walikuwa nyuma kabisa sasa ivi wameshapanda juu, Sisi kila siku ni kuporomoka tu...inaniuma sana.
 
Me too...nw cfatilii mpira kwa ajili yao...waliniboa sana...tumefight tucheze uefa then tunasajili ujinga
 
Dah! Mie mpaka nimekosa hamu ya mpira kabisa, kila mwisho juma kwangu ni kusononeka tu, angalau wiki iliyopita kulikua na mechi za kirafiki nikapumua.

Rodgers angeiacha timu yetu tu, matatizo ya msimu uliopita kashindwa kuyatatua (walinzi kuruhusu magoli mengi n.k) kapewa pesa kibao kusajiri lakini bure tu, mifumo yake isiyoeleweaka, kutoa wachezaji bila sababu za msingi. Kifupi jamaa kazi kashindwa aondoke tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom